Rais Putin amekubali kuuza Su-35 kwa Iran!

Rais Putin amekubali kuuza Su-35 kwa Iran!

Wanaukumbi.

Rais Putin amekubali kuiuzia Iran Su-35s! Marubani 40x wa Iran wanaelekea Urusi kuanza mazoezi ya ndege za kivita za hali ya juu!! Iran inazidi kuwa nchi yenye nguvu kikanda!!

kuhusu uuzaji wa ndege za kivita aina ya Su-35 kutoka Urusi hadi Iran, pamoja na mafunzo ya marubani wa Iran nchini Urusi, zinaonyesha uhusiano wa kijeshi unaozidi kuimarika kati ya mataifa hayo mawili.

View: https://x.com/captcoronado/status/1843273825686884486?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mrusi hawezi fanya huo ujinga wa kumuuzia mtu ndege ya kisasa mtu ambaye anaweza dunguliwa muda wowote na watu wakaondokanna siri za kambi.
 
Ninachokiaona, inaweza kupigwa vita dhidi ya Iran kama ilivyotokea vita dhidi ya Iraq ya Saddam mwaka 2003.... Jamaa alisingiziwa ana silaha za Nyuklia, ikaanzishwa vita akang'olewa.... Mataifa mengi waliishia kulaani tukio...

Tehran yaweza kupigwa na UN kwa kisingizio hiki ... Maana USA hawaelewekagi wale.....
Sio kwa kipindi hiki ambacho Mrusi yuko nyuma ya mu Iran.
 
Ungejua kwamba kwenye jeshi na Baraza la mawaziri wa Iran Kuna wayahudi waliopandikizwa usingeanza kushangilia.
Mnawaona Watanzania wajinga sana yaani Baraza lililopandikizwa lisitoe taarifa za kijeshi wanazofanya Iran kila wanapoamua kupiga Israel...
 
Mnawaona Watanzania wajinga sana yaani Baraza lililopandikizwa lisitoe taarifa za kijeshi wanazofanya Iran kila wanapoamua kupiga Isr

Mnawaona Watanzania wajinga sana yaani Baraza lililopandikizwa lisitoe taarifa za kijeshi wanazofanya Iran kila wanapoamua kupiga Israel...
Unanikumbuka ERICH HONECKER wa ujerumani mashariki na Chancellor Willy Brand wa West Germany enzi zile?
Secretary wa Chancellor wa West Germany alikua amepandikizwa na HONECKER.
 
Unanikumbuka ERICH HONECKER wa ujerumani mashariki na Chancellor Willy Brand wa West Germany enzi zile?
Secretary wa Chancellor wa West Germany alikua amepandikizwa na HONECKER.
Mkuu mimi sikatai ila sio kila sehemu haya mambo yapo kirahisi kama mnavyoandika humu wale wakushi wenyewe tu hawajiamini harafu atoke mtu nje sijui..
 
Mrusi hawezi fanya huo ujinga wa kumuuzia mtu ndege ya kisasa mtu ambaye anaweza dunguliwa muda wowote na watu wakaondokanna siri za kambi.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-11-00-19-56-954.jpg
    Screenshot_2024-10-11-00-19-56-954.jpg
    344.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom