Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaukumbi.
Rais Putin amekubali kuiuzia Iran Su-35s! Marubani 40x wa Iran wanaelekea Urusi kuanza mazoezi ya ndege za kivita za hali ya juu!! Iran inazidi kuwa nchi yenye nguvu kikanda!!
kuhusu uuzaji wa ndege za kivita aina ya Su-35 kutoka Urusi hadi Iran, pamoja na mafunzo ya marubani wa Iran nchini Urusi, zinaonyesha uhusiano wa kijeshi unaozidi kuimarika kati ya mataifa hayo mawili.
View: https://x.com/captcoronado/status/1843273825686884486?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Sio kwa kipindi hiki ambacho Mrusi yuko nyuma ya mu Iran.Ninachokiaona, inaweza kupigwa vita dhidi ya Iran kama ilivyotokea vita dhidi ya Iraq ya Saddam mwaka 2003.... Jamaa alisingiziwa ana silaha za Nyuklia, ikaanzishwa vita akang'olewa.... Mataifa mengi waliishia kulaani tukio...
Tehran yaweza kupigwa na UN kwa kisingizio hiki ... Maana USA hawaelewekagi wale.....
Mnawaona Watanzania wajinga sana yaani Baraza lililopandikizwa lisitoe taarifa za kijeshi wanazofanya Iran kila wanapoamua kupiga Israel...Ungejua kwamba kwenye jeshi na Baraza la mawaziri wa Iran Kuna wayahudi waliopandikizwa usingeanza kushangilia.
Israel akipigwa sisi tunaosumbuliwa na Malaria tutapotea kama mbu tuombe hao wahuni waache vita haina maana yeyote kwenye zama hizi..Kikubwa mi nataka Israel aangushiwe kimondo kimoja cha Nuclear ili wawe na adabu🤣
Hapo zilikuwa kwenye Base lakini zikiruka angani kwenda kushambulia ni habari nyingine!Iran kazipiga F-35 25 kwenye base mpaka leo Marekani na Israel wanaangaliana tu hawajui nini kimetokea.
Lkn hata yy katuma kamikaze Russia na makombora na magari au umesahau?Hakuna cha bure kwenye silaha.
Anzisha ugomvi watu wapige pesa za silaha.
Yeye Iran anaweza kutoa mafuta yake bure bure?
Mnawaona Watanzania wajinga sana yaani Baraza lililopandikizwa lisitoe taarifa za kijeshi wanazofanya Iran kila wanapoamua kupiga Isr
Unanikumbuka ERICH HONECKER wa ujerumani mashariki na Chancellor Willy Brand wa West Germany enzi zile?Mnawaona Watanzania wajinga sana yaani Baraza lililopandikizwa lisitoe taarifa za kijeshi wanazofanya Iran kila wanapoamua kupiga Israel...
Mkuu mimi sikatai ila sio kila sehemu haya mambo yapo kirahisi kama mnavyoandika humu wale wakushi wenyewe tu hawajiamini harafu atoke mtu nje sijui..Unanikumbuka ERICH HONECKER wa ujerumani mashariki na Chancellor Willy Brand wa West Germany enzi zile?
Secretary wa Chancellor wa West Germany alikua amepandikizwa na HONECKER.
😃Wale WA Taifa teule hiloo...Huu Uzi uko shubiri ..
Hahahha mlokole kachafukwa😁Mrusi hawezi fanya huo ujinga wa kumuuzia mtu ndege ya kisasa mtu ambaye anaweza dunguliwa muda wowote na watu wakaondokanna siri za kambi.
Mrusi hawezi fanya huo ujinga wa kumuuzia mtu ndege ya kisasa mtu ambaye anaweza dunguliwa muda wowote na watu wakaondokanna siri za kambi.
Mrusi hawezi fanya huo ujinga wa kumuuzia mtu ndege ya kisasa mtu ambaye anaweza dunguliwa muda wowote na watu wakaondokanna siri za kambi.