Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Mmmh sa itakuaje jmn[emoji3064][emoji3064]Mama kashapiga pingu na sdui. Huu ni ujumbe konki
Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.
Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.
View attachment 2201639
NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
MkuuuPutin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.
Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.
View attachment 2201639
NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
Biden is Old 78 yrs old.mhh mbona wanataka kuharibu honeymoon ya mama..labda ndo maana biden hataki kukaa na mama meza moja..
Hiyo line ya mwisho .. "and"...tatu za nini?Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.
Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.
View attachment 2201639
NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
Anakula futari au anachoma kodi zetu? Au unadhani analala bure kuleNa mama hadi leo anakula futari la Marekani.
Mmmh sa itakuaje jmn[emoji3064][emoji3064]
Tumepokea kwa mikono miwili huu ujumbe. Russia na Tanzania ni marafiki wa kweli siyo wa kinafiki kama hao wengineKhee mbona makubwa haya[emoji23][emoji23][emoji23]
Atukome huyu baba
Mbona hamna signature ya Putin?Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.
Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.
View attachment 2201639
NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
Hilo 'futari' kaandaliwa na uvccm dayaspora!Anakula futari au anachoma kodi zetu? Au unadhani analala bure kule