Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

Anatukumbusha tu kuwa hatufungamani na upande wowote. Si jambo baya.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.

Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.

View attachment 2201639

NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Ni upuuzi mtupu hakuna barua iliyotoka urusi hapo hizo ni kazi za uvccm
 
Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.

Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.

View attachment 2201639

NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
You scratch my back and I will scratch yours!
Mama anaupiga mwingi….Kazi iendelee!!
 
Sipati picha wafuasi wa jiwe wangerukaruka kwa furaha kama yule fashisti ndii angekuwa hai akatumiwa hiyo barua na huyo dikteta Putin...
 
Back
Top Bottom