Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

Anatukumbusha tu kuwa hatufungamani na upande wowote. Si jambo baya.
 
Reactions: Ame
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hiyo Line ya mwisho imenishtua mno.
Ha ha ha haaaa! Wana'kizungu' cha kuungaunga kama sisi....Natania. Nadhani mleta mada analitafuta jambo, anaweza kulipata kwa moderators wakipata nafasi.
 
Ni upuuzi mtupu hakuna barua iliyotoka urusi hapo hizo ni kazi za uvccm
 
You scratch my back and I will scratch yours!
Mama anaupiga mwingi….Kazi iendelee!!
 
Sipati picha wafuasi wa jiwe wangerukaruka kwa furaha kama yule fashisti ndii angekuwa hai akatumiwa hiyo barua na huyo dikteta Putin...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…