Ungekuwa umesikiliza alichosema mama, ungejuwa ni kwanini kapata hizo salam. Kwa mujibu wa NY Times, mama alisema hajui nani ni mkorofi ama mkandamizaji kati ya Urusi na UkrIne. Na kwamba hafahamu ni kwanini wanapigana.Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.
Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.
View attachment 2201707
NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
.....Si kweli
... kwamba sijui Putin anajua kibeberu au? Elewa context kabla ya kuhoji elimu yangu. Nakubaliana na wewe illiterate ni tatizo nchi hii and you have demonstrated it!Una elimu gani mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli tz bado Ina kiwango kikubwa cha illiterate people
Aache unafiki, yaani mtoto wa kidato cha nne afahamu sababu za Putin kulianzisha huko Ukrain yeye Rais wa nchi asifahamu hata ABC.?Ungekuwa umesikiliza alichosema mama, ungejuwa ni kwanini kapata hizo salam. Kwa mujibu wa NY Times, mama alisema hajui nani ni mkorofi ama mkandamizaji kati ya Urusi na UkrIne. Na kwamba hafahamu ni kwanini wanapigana.
Baraza la vichaa AT IT WORK...Ni upuuzi mtupu hakuna barua iliyotoka urusi hapo hizo ni kazi za uvccm
Uyo Kamala kakutwa na Corona ..bi Tozo sijui atakuwa na Khali Gani Hadi Sasa..Biden is Old 78 yrs old.
Hawezi Risk kukutana na Rais toka Africa.
Ndio maana Rais Samia akakutana na kamala.
Ili hata akipata korona.
Basi anaweza pambana.
Nyie si mlisema Rais wenu alifariki kwa korona, wameamua kumlinda wao.
Pamoja na ARVs wanazotupa bure, Wamarekani pia walituma salamu jana 😂Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.
Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.
View attachment 2201707
NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
NdiyoKwan unadhan yeye ndio anaandka? .......that's y Kuna kitengo cha mawasiliano pale Kremlin
Mafuta yamepanda sababu ya vita zakeKivpi mkuu
Asante sana camarade Vlad kwa kuungana nasi ktk kuadhimisha siku ya muungano wetu. Tanzania na Russia ni dugu toka enzi na enzi, na sasa tuko pamoja kupinga ubeberu unaopandikizwa kwenye huu upuuzi wa new world order. Mabeberu ziiiiii.Khee mbona makubwa haya[emoji23][emoji23][emoji23]
Atukome huyu baba
Na mama hadi leo anakula futari la Marekani.
Mmmh sa itakuaje jmn[emoji3064][emoji3064]
Inaelekea putin akikupapasa makalio utaitikia ahsante kwa niaba ya Watanzania wenzakoKwa niaba ya Watanzania wenzangu, nasema Putin "Asante Kwa salamu" [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]