Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Serikali ipo tz... fax imeelekezwa Dar es Salaa au Washington? Maana addressee at this moment yupo DC! Sijui kama anafahamu hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ipo tz... fax imeelekezwa Dar es Salaa au Washington? Maana addressee at this moment yupo DC! Sijui kama anafahamu hilo.
Una elimu gani mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Putin huwa anaongea Kiingereza aka kibeberu siku hizi?
Nn Tena mkuuNgoja tuone...
Kwan unadhan yeye ndio anaandka? .......that's y Kuna kitengo cha mawasiliano pale KremlinAnauwezo wa kuongea kiingereza
Hatutaki.Katusababishia ugumu wa maisha aende zakeKumbe Tanzania si haba .....kwenye ulimwengu huu Hadi mwamba putin ametukumbuka
Katika ujumbe huo amesema Tanzania na urusi Wana uhusiano wa urafiki wa muda mrefu hivyo anawatakia watanzania wote mafanikio tele
Mimi ni nani ....nipinge kuwa sisi tunaheshimika View attachment 2201697View attachment 2201699
View attachment 2201690
Achana nao hawa mkuuTwitter, ubalozi wa urusi Tanzania wamepost
Kuna ujumbe umejificha btn lines..tafakari.Unataka kusemaje? mbona ujumbe uko wazi kabisa na ni heshima kubwa iyo
Ndivyo ulivyotafsiri hivyo?Putin anamuambia kua mi niko mbali naweza kuongea na wewe lakini uko kwa mtu sebuleni yeye hata salam tu hajakupa!!
Asante Putin.
Huyu baba anajua kujishusha kwa wanyonge.
tutawekewa sanctions heavy na western powerwarmly welcome to Tanzania
Wa east EuropeWarusi wa Kimboka na Beach kidimbwi
Tungewekewa sanctionsNawaza royal tour ingezinduliwa urusi tungemake headlines sana Kwenye MSM zao haha
Hao watu wa ubalozi wanamuwakilisha nani? Hebu jitahidi kuepuka aibu ndogo ndogo mkuu!Putin hana muda mchafu huo wa kuandika,huo ujumbe umeandikwa na watu wa ubalozi wa Russia Uliopo hapa Tanzania
Yaaah Ni kweli mkuu.....wanafunz watz walipewa full security na mzee putinKama utakumbuka vizuri baadhi ya watanzania waliokwama ukrine aliwatoa ukrine kisha akawapitishia Urusi kuja Tz,,wengineo wote aliwaswaga wapitie hukohuko kwenye tanuri la moto watokee Poland.
Kivpi mkuuHatutaki.Katusababishia ugumu wa maisha aende zake
Bado ni watotoWenye negative comment kwenye uzi huu ni pro nato.
hata watoto afadhali ni vifaranga vya mwewe kabisa.Bado ni watoto
Unapinga nini mkuu? Kwamba hiyo barua imeandaliwa na akina Shaka?Ni upuuzi mtupu hakuna barua iliyotoka urusi hapo hizo ni kazi za uvccm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata watoto afadhali ni vifaranga vya mwewe kabisa.