Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

Unataka kusemaje? mbona ujumbe uko wazi kabisa na ni heshima kubwa iyo
Kuna ujumbe umejificha btn lines..tafakari.
Putin anamuambia kua mi niko mbali naweza kuongea na wewe lakini uko kwa mtu sebuleni yeye hata salam tu hajakupa!!
Asante Putin.
Huyu baba anajua kujishusha kwa wanyonge.
Ndivyo ulivyotafsiri hivyo?
 
Kama utakumbuka vizuri baadhi ya watanzania waliokwama ukrine aliwatoa ukrine kisha akawapitishia Urusi kuja Tz,,wengineo wote aliwaswaga wapitie hukohuko kwenye tanuri la moto watokee Poland.
Yaaah Ni kweli mkuu.....wanafunz watz walipewa full security na mzee putin
 
Received, with thanks.
WISHING YOU SUCCESS IN UKRAINE.
 
Mama piga kaza tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Ona hadi salam tunapata kutoka majuu
 
Back
Top Bottom