Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

Kilichonishangaza leo kumaddress mheshimiwa Raisi wetu kama Ms! Hiyo Ms ni miss bila shaka au wataalam nimeenda Chaka?
Mkuu hili Ms ni neno tu kama Mrs lakini hutumiwa hasa kama huna uhakika kama huyu bibie ana Mume au ni msimbe...sasa bwana Yule 'Mbabe' aliyewakilishwa na balozi hana uhakika kama Hangaya ana Mume au hana, hata mimi binafsi simjui 'Mzee' wetu.

Origin yake Ms ni Europe.
 
Reactions: mmh
chanzo cha muungano ni mapinduzi ya zanzibar, aliye engineer mapinduzi Nyerere akipewa mipango na Russia
 
NINGEKUWA RAIS WA TANZANIA HAPO NDIO NINGECHOMEKEA KUNUNUA MAFUTA NA GESI πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Huyu jamaa anataka urafiki na sisi wa ghafla - HATUTAKI... amalizane na UKRAINE kwanza - yaani ayakanyage huko afu aje kutupakaza no no no.
 
Kama mama hazipokei hizo Salamu mimi kama Mtanzania nazipokea
 
Halafu mnajiuliza kwa nini Biden anamkwepa Samia...Why Don't you ask Why....
 
Putin aache kujipendekeza, sisi tuko damu damu na marafiki zetu US, hata viongozi wetu hutembeleana, Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Hadi Sasa Samia yuko kule wiki mbili Sasa. Clinton, Bush, Obama, nk nao pia wamepata kututembelea hapa nchina kwa nyakati tofauti. Russia wapambane na hali yao.
 
Jamaa linajuaga kuchokoza kinoma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…