Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
- Thread starter
- #21
Akiendekea kujibu masuali yanohusu mahusiano ya nje. Putin ajibu suali la mwandishi Valerie Hopkins wa NY Times kuhusu kushikiliwa kwa wamarekani wawili Evan Gershkovich mwandishi wa WSJournal na Paul Whelan Askari wa majini au marine.
Putin ajibu kwamba kuhusu kubadilishana wafungwa “we want to reach an agreement na kwamba that agreement must be mutually acceptable na unozinufaisha pande zote mbili.” Hata hivyo Putin asema watu hao wawili wapo chini ya taratibu za mahakama .” I won’t go into details lakini ni mjadala mgumu ( difficult dialogue) lakini tukizungumza lugha tunoelewana twaweza kufikia mwafaka.”