Si kwelhuyu na mwendazake wana falsafa zinazofanana
Wamaanisha nini unaposema epuka kuwa solid majority?Asikudanganye.kuelekea kwenye new world order yeye amepewa mambo kadhaa ya kuyasimamia.anayeamua vita iendelee au isitishwe na wakuu wake wa kazi.
Epuka kuwa solid majority.
Dunia ina wenyewe.
Ukrain kwa sababu wanauliwa wakiristo ndio maana ICC wanapiga kelele lkn wangalikuwa wanauliwa waislam wangipongeza. Lkn waislam tushajua zamani hayoUmoja wa mataifa unamtazama tu alivyovamia nchi huru ukraine wao ni kuilaani Israel.tu lazma wamehongwa na Waarabu.
Ukraine wanakufa wapi? Watu hawajauliwa hata 200 unasema wanauliwa?Ukrain kwa sababu wanauliwa wakiristo ndio maana ICC wanapiga kelele lkn wangalikuwa wanauliwa waislam wangipongeza. Lkn waislam tushajua zamani hayo
Bila kuangalia unoyasema, fahamu kuwa vita ni biashara na kama vita ni biashara wanonufaika ni wachache khasa kwa mabepari, ni very lucrative.Watu wengi saana Duniani wanaodanganywa na upotoshwa na of course ndio mkakati wa kuitawala Dunia.
Wanajadili mambo kwa kuangalia matukio na kupotoshwa na vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
na dini zinatumika kutawala mindset za watu hivyo pengine you are a Muslim nk
Tumemsamehe rais wa ulimwengu kwasasaHatimae Mkutano wa Raisi Putin na waandishi wa habari wa kimataifa umemalizika baada ya masaa manne!
Raisi Putin amekuwa akuzungumza kwa masaa manne bila kupumzika huku akigusia maeneo mbalimbali yanohusu ndani ya Russia na masuala ya kimataifa.
Mwisho ameomba radhi kwa wale ambao masuali yao hayakuweza kujibiwa.
Nyongeza anaumuweza PUT IN na RUSSIA [emoji635] ni aliyowaumba tuuuYa kijifunza kutoka katika Mkutano huu.
1. Raisi Putin ana kazi malum ambayo amepewa kuhakikisha Russia yasimama imara kiuchumi, kijeshi na katika jukwaa la kimataifa.
2. Putin ni mzungumzaji yaani great talker na ni mjuvi, mwerevu na taarifa zote kuhusu nchi yake na za Dunia hii anazo.
3. Russia ni superpower kwa kuweza kupigana na nchi zipatazo 50 nyingine zikiwa zimejificha nyuma kwa mwaka wa pili sasa waenda.
4. Russia Ina uwezo wa kiuchumi licha ya kuwa vitani.
6. Na mwisho ni kwamba raisi Putin tunae hadi hapo kitapoeleweka.
Jamaa lina akili sana ,km haya ndio majibu hana baya yuko fairMkutano waendelea ikiwa ni masaa zaidi ya matatu.
Akıjibu suali la kusimamisha mahusiano na France. Putin asema ni France walosimamisha mahusiano na si vinginevyo. Aulizwa kama atakuwa tayari kuzungumza tena na Emmanuel Macron. Putin ajibu, “ I used to have very good working relation with Mr Macron and we’ve had a very rich agenda.
We are ready to continue our cooperation with France, but at a certain point the French President seized all relations with us. We didn’t stop it, I didn’t, he did” na kama kuna interest tupo tayari kurejesha mahusiano.
Kama hakuna interest “ we can do without them “ amalizia Putin.
Tusiende mbali mwambie Biden apande na kushuka ngazi za ndege ya Raisi kwa kasi ya Putin-nguvu hizo hana kabisa yeye ni bingwa kwenye masuala ya political rhetoric na kitisha tisha watawala wa EU na Banana Republics lakini sio Urusi Bwana!! Putin amekwisha muonya Biden zaidi ya mara tatu kwamba hatavumilia kiongozi au Taifa ambalo litaonyesha wazi wazi kwamba lina mpango wa kuiagamiza Urusi na raia wake in totality - Putin hatanii hata kidogo, taifa lake liiisha jiweka tayari kwa miaka mingi jinsi ua ku-deal/kumpa fudisho taifa korofi.Tumemsamehe rais wa ulimwengu kwasasa
Ila kuna bwana yule alisema rais wa dunia eti yuaumwa
Sijui akitembea mkono anaufanyaje sababu yakuzidiwa na maradhi
Aaah kuna watu hapa duniani wanajua kila kitu
Haya masaa alozungumza rais wa dunia ukimueka yule rahisi wa united shit of Americant hawezi kuzungumza hata robo ya hayo masaa