Huenda muda huu ameshapigiwa mahesabu makali sana, anasubiriwa aanzishe tu. Huu ni muda ambao Putin anapaswa kutazamwa vyema ili asikurupuke kulaunch nuclear.Mkuu Una akili kweli? Putin anachezeshwa segere na Ukraine kwa Miezi saba sasa af sasa unakuja kusema Russia Inaweza Kufyeka Nchi 27 za NATO!?? Hivi unavuta hiyo Bhange ukiwa wapi?
Nani atamfunga paka (PUT IN) kengele (atamzuia) !!!??Ndio maana Putini inabidi azuiwe katika huu mchezo wake hatari sana, na ndio maan hata majirani zake wengi ukiondoa Belarus hawaungi mkono uvamizi wake kwasababu kuna maeneo yanayoongea Kirusi pia huko Uzbekistan, Kazakhstan, Georgia na Azerbaijan.
Russia angepambana na mtu kama France sijui itakuaje, nguvu ya russia ipo ktk nuclear tu.Alisema siku tatu tu sijui ataizima Ukraine na kuichukua mpaka leooo [emoji23][emoji23][emoji23] anahahaa anapata mhahoo
Kama US tu bila nyuklia hana madhara kabisaaaaRussia angepambana na mtu kama France sijui itakuaje, nguvu ya russia ipo ktk nuclear tu.
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Mbali na Nuclear, ni kitu gani Russia atakitumia ambacho mpaka sasa hajakitumia Ukraine?Kwa Russia mpaka sasa aikuwa βall outβ war na Ukraine, lengo ni kuchukua maeneo yanayoongea kirusi ndani ya Donbas na walishuvuka hiyo mipaka.
Hayo maeneo waliyoyaachia na kurudi nyuma hawana interest nayo vile lakini awajaachia bado maeneo wanayoyataka.
Escalation ya vita ni Russia akisema full all out war against Ukraine; sidhani Zelensky kama atauweza huo mziki.
Western media wanavyozungumza Russia kutaka kuimega Ukraine, wakati nchi yote hiyo miaka ya 90 ilikuwa Russia.
Mbona hiyo France haendi kupambana na Russia?Russia angepambana na mtu kama France sijui itakuaje, nguvu ya russia ipo ktk nuclear tu.
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Kupeleka wanajeshi laki 3 unaona sio full scale warKwa Russia mpaka sasa aikuwa βall outβ war na Ukraine, lengo ni kuchukua maeneo yanayoongea kirusi ndani ya Donbas na walishuvuka hiyo mipaka.
Hayo maeneo waliyoyaachia na kurudi nyuma hawana interest nayo vile lakini awajaachia bado maeneo wanayoyataka.
Escalation ya vita ni Russia akisema full all out war against Ukraine; sidhani Zelensky kama atauweza huo mziki.
Western media wanavyozungumza Russia kutaka kuimega Ukraine, wakati nchi yote hiyo miaka ya 90 ilikuwa Russia.
Hataimaliza ila itammaliza yeye.π€π€π€πππVita aliyoahidi kuimaliza kwa muda mfupi katumia miezi minane na hajaimaliza.
Anawaokota mtaani hawana hata mafunzo bora hata mgambo wale sijui tuwaitaje kama sio skauti tutapata jina lao...Kupeleka wanajeshi laki 3 unaona sio full scale war
leta sehemu aliyo sema ivoAlisema siku tatu tu sijui ataizima Ukraine na kuichukua mpaka leooo πππ anahahaa anapata mhahoo
...."Na wanaoenda wote ni frontline" i.e. Kwa kirangi "Killing zone" au kwa Kibongo ni "uwanja wa kifo" inasikitisha sana. Yani mtu atoke huko madongo poromoka, Avalishwe gwanda na apelekwe moja kwa moja uwanja wa mapigano mstari wa mbele. Jamani dah! Putin hapana aisee. Ile kichwa ingine kabisa.Keshapoteza wanajeshi wote aliopeleka mwanzoni, hivyo naona kaongeza wengine
Ila mikataba yao haiishi
Magavana ndo watachagua nani ataenda
Na wanaoenda wote ni frontline
Wanafunzi wamesamehewa kwa sasa, ila huko mbeleni wataweza hitajika
Ha ha ha ha ha hajui hesabu huyoHaukuwahi kusoma hesabu za kukaribisha namba?Approximatily!
Hii ni specific event haina uhitaji wa approximation unatakiwa uwe exact...πππHaukuwahi kusoma hesabu za kukaribisha namba?Approximatily!
Kyiv na Moscow wakiamua kutupiana missiles zenye hypersonic speed wanafikiana kwa dakika tano.Kupeleka wanajeshi laki 3 unaona sio full scale war
Kwa kukusaidia huo mkasa naujua na ulipelekea Viktor yanukovich aliyekua raise wa ukraine kukimbilia Russia na ndo kilichopelekea Russia kuichukua crimeaKyiv na Moscow wakiamua kutupiana missiles zenye supersonic speed ni wanafikiana kwa dakika tano.
Sasa kwanini Russia azunguke kote huko aanzie Donbas, kuna sababu za msingi ambazo mzozo wake unarudi mpaka 2014 Ukraine ilipo taka kujiunga na EU na kujitoa.
Baada ya hapo kuna majimbo matatu ambayo hayaku support kujiunga na EU, mawili ndio hayo ya Donbas na Crimea. Na yamekuwa na waasi waliokuwa wakipagana na Ukraine toka hapo.
Ni hivi hiyo story ni ndefu na sio ya kusikiliza propaganda za western media, kwenye huo mzozo ukitafuta mtaalamu ambae yupo objective na wapo wengi credible YouTube wakikuelezea utaona shida hapo haswa ni USA.
Hayo maeneo ya Donbas yana makubaliano kati ya Russia na Ukraine kwa suluhisho la EU kwa muda mrefu tu wananchi wake wapige kura ya maoni kwenye kujiamulia either wajiendeshe wenyewe au wabakie chini ya Kyiv central government.
Aliezuia hiyo kura ya maoni kufanyika ni Zelensky halafu anataka kuruhusu US waweke missiles Kyiv kama nilivyokwambia Moscow hapo ni dakika tano tu kwa hizo silaha.
Ni hivi kwenye hii vita mtia sumu ni US na ndio anaichochea kwa kuipa silaha Ukraine vita iendelee.