Kyiv na Moscow wakiamua kutupiana missiles zenye supersonic speed ni wanafikiana kwa dakika tano.
Sasa kwanini Russia azunguke kote huko aanzie Donbas, kuna sababu za msingi ambazo mzozo wake unarudi mpaka 2014 Ukraine ilipo taka kujiunga na EU na kujitoa.
Baada ya hapo kuna majimbo matatu ambayo hayaku support kujiunga na EU, mawili ndio hayo ya Donbas na Crimea. Na yamekuwa na waasi waliokuwa wakipagana na Ukraine toka hapo.
Ni hivi hiyo story ni ndefu na sio ya kusikiliza propaganda za western media, kwenye huo mzozo ukitafuta mtaalamu ambae yupo objective na wapo wengi credible YouTube wakikuelezea utaona shida hapo haswa ni USA.
Hayo maeneo ya Donbas yana makubaliano kati ya Russia na Ukraine kwa suluhisho la EU kwa muda mrefu tu wananchi wake wapige kura ya maoni kwenye kujiamulia either wajiendeshe wenyewe au wabakie chini ya Kyiv central government.
Aliezuia hiyo kura ya maoni kufanyika ni Zelensky halafu anataka kuruhusu US waweke missiles Kyiv kama nilivyokwambia Moscow hapo ni dakika tano tu kwa hizo silaha.
Ni hivi kwenye hii vita mtia sumu ni US na ndio anaichochea kwa kuipa silaha Ukraine vita iendelee.