Rais Putin azilaumu nchi za Magharibi kuhusu vita Ukraine

Rais Putin azilaumu nchi za Magharibi kuhusu vita Ukraine

Kama wewe ni mwema na nchi za magharibi ndiyo waovu"sasa kwanini" kila jirani yako anakukimbia?.
Uoni kuwa una tatizo ndiyo maana unakimbiwa na kila mtu!.

Gaddafi wananchi wake walisaidiwa na wageni kumua ila Ukraine tunaona wananchi wakishirikiana na Rais wao kumpiga mvamizi.

Hadi wapinzani na maraisi wastaafu tumeona wakichukua bunduki na kwenda frontline kumpiga mvamizi alafu kuna watu wanasema"Ukrein imedanganyawa" howcome udanganye taifa zima maraisi, wastaafu na wapinzani at the same time?.

US alituambia kuwa unakwenda kuivamia Ukraine"wewe ukakataa kata kata" mwisho wa siku ukimvamia jirani yako asubuhi kabla kiza kuisha. Je, tuiamini magharibi ama wewe pale linapokuja swala la ukweli?.

MAJINGA :- Ukraine Ilidanganya na US. je, na wale majirani wengine wanaokukimbia wamedanganywa na nani?.

Ukraine nchi inayotengeneza injini za Drone na kuiuzia TURKEY. Nchi inayolima ngano na kusambaza duniani kote how come wawewapumbavu wa kuinginzwa cha kike kilaini hivi na mataifa ya magharibi?.

Ajabu ni kwamba, uwongo unaosemwa kutumika kuidanganya Ukraine unafahamika vichwani mwa watu wapumbavu tu hasa hawa jamaa wa Swala 5 kanzu chafu, meno manjano, baba na mama wanawatoto 12 ila wanaishi kwenye Chumba na sebule na kundi lingine la wakristo wajinga wajinga wengi wao wakiwa waumini wa makanisa ya vichochoroni.

Makristo majinga majinga baadhi yao utasikia ya kisema ama kuandika mitandaoni "MIMI NI MKRISTO ILA YESU SI MUNGU!".
yana macho ila hayaoni.
Yana maskio ila hayasikii.
Yanauwezo wa kunusa ila brankata zao haziwezi kupambanua kuwa hii ni harufu ya Mavi ama keki.

Jinga kabisa.
wew kama wew hujitambui ndio maana unaandika uozo mara dini mara siasa yaan huelewek
kaa pemben
 
Inaonekana hata hujui sababu ya hyo operation huyo ukraine amevunja mkataba waliowekeana na russians na amevunja kusudi kwa kutegemea kikiwaka nato wataleta majeshi kumsaidia hyo operation ilikuwa inaweza kuisha kwa amani hila alikuwa anaendeshwa kwa maamuzi kutoka west
 

Attachments

  • 20221029_113907.jpg
    20221029_113907.jpg
    338.1 KB · Views: 2
Yani wapigane tu hata miaka 100!aliponyakua crimea 2014 alidhani west ni midebwedo na dhaifu,kumbe walikua wanajipanga na wanamtega ajichanganye tena wamtie adabu!sasa kaingia ktk 18 zao
Halafu kabeba 25% ya Ukraine
 
NATANGAZA RASMI HADI LEO HII ASKARI WA NATO NA UKRAIN WALIOULIWA WAMEFIKA 225600 HADI 230000 kwa hii miezi mitatu tu russia kafyeka askari wa nato na ukrain elfu 93200 kwa wastani ni askari elfu moja kwa siku
Angalia jinsi wapiganaji WA WAGNER wanavyokaangwa huko Frontline BAKHMUT
JamiiForums967879333.jpg
 
Back
Top Bottom