Rais Putin: Kama mnataka vita iishe acheni kuipa Ukraine silaha

Gaddafi alisaidia wananchi wake,umeme bure,maji bure,nyumba bure n.k
Umekariri badoo, hata yeye afikiri kama wewe kuwa ni msaada, siyo haki. Ndio maana hawakumpenda wakashirikiana ma wageni kumuua! Alikuwa mwovu alifikiri huo msaada utapofua watu wasione uovu wake
 
Tatizo lako we bado unadhani Ukraine ndio anaye pigana vita. Anaye pigana vita hapo ni NATO lakini kawaida ya mtu dhaifu huwa harushi ngumi MPAA pale aone kunawamuzi au awe nyuma ya mtu
 
Tatizo lako we bado unadhani Ukraine ndio anaye pigana vita. Anaye pigana vita hapo ni NATO lakini kawaida ya mtu dhaifu huwa harushi ngumi MPAA pale aone kunawamuzi au awe nyuma ya mtu
Teh teh teh kauli za kushindwa hizi,by the way kwanini Putin asiwashambulie hao NATO kama alivyoahidi?
 
bado hailet mantik , kwann alianzisha uvamiz wkt hawakuwa wanatoa silaha
 
kwa mbwembwe.alizotumia kuanzisha vita sio wakuja kusema yupo tyr kumaliza vita incase ukraine isipopewa silaha maana ake kashashindwa anasikilizia waamuz tu
 
Da wewe jamaa una akili sana .
Humu kumbe nimeona Kuna vilaza wengi sana ,Tena hata wale niliyokua nawaona wako makini kumbe Bure kabisa.

Kwa kifupi ni kweli Putin alombwa asitishe vita,nae akawambia waache kupeleka silaha.
Kwa hiyo nae kawapa masharti.

Bora wewe umewafafanulia,ingawa naona wanajifariji TU.
 
Safi sana,Pro NATO wanamtia huruma aisee,nimegundua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…