Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Ni Muhammad Saeed Al Sahaf msemaji wa Serikali ya Saddam ndiyo alikuwa na mikwara hiyo.Tark Aziz alikuwa Deputy PM hakuwa muongeaji sanaTarik Azizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Muhammad Saeed Al Sahaf msemaji wa Serikali ya Saddam ndiyo alikuwa na mikwara hiyo.Tark Aziz alikuwa Deputy PM hakuwa muongeaji sanaTarik Azizi
Mkuu; Kupigiwa simu isikupe shida. Hoja ni ujumbe alioutoa Putin kwenda Mataifa ya Ulaya kupitia kwa Macroni. Yaani ni sawa na Message sent and Delivered kwenye hizi simu zetu za mkononi. Lengo ni Ujumbe kwa wahusika umefikishwa.Kwahiyo Putin alikuwa anasubiri apigiwe simu na Macron ili atoe ombi la kuonewa huruma? Huna akili.
Gadaffi alikuwa hapendwi na raia wake alikuwa muuaji, ndio maana ikawa rahisi kummalizaugomvi wa kuchangiwa hata wakiwa watoto wadogo wanaweza kukupiga.
kwani mzee Gaddafi kaangushwa na Nani?kama sio hao wamarekani na wazungu waliowapa silaha raia
Weh Mzee!Mkuu; Kupigiwa simu isikupe shida. Hoja ni ujumbe alioutoa Putin kwenda Mataifa ya Ulaya kupitia kwa Macroni. Yaani ni sawa na Message sent and Delivered kwenye hizi simu zetu za mkononi. Lengo ni Ujumbe kwa wahusika umefikishwa.
By the way, mtoa mada ameandika hv, namnukuu: Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema mataifa ya Ulaya yanatakiwa kusaidia kumaliza vita dhidi ya Ukraine kwa kuweka shinikizo kwa Rais Volodymyr Zelensky na kusitisha kumpelekea silaha. mwisho wa nukuu.
Sasa wewe mwenye Akili umechapia maneno yako .... ombi la kuonewa huruma. Hayo maneno hayajatoka katika kinywa cha Putin. Kama ni mdau kachangia uzi kwa kutumia maneno hayo hilo ni jambo jingine. Na wewe jiongeze utumie maneno ya kwako upendavyo. 🙏
Gadaffi alikuwa hapendwi na raia wake alikuwa muuaji, ndio maana ikawa rahisi kummaliza
Nanukuu: Rais Macron ndiye aliyempigia simu Rais Putin na kusema yupo tayari kusaidia kumaliza mgogoro huo.Mwisho wa nukuuWeh Mzee!
Kati ya Putin na Macron nani amemtafuta mwenzake kupitia simu, yaani nani amepiga simu?
Sawa mkongwe, kwahiyo Putin ameanza kusanda sio?Nanukuu: Rais Macron ndiye aliyempigia simu Rais Putin na kusema yupo tayari kusaidia kumaliza mgogoro huo.Mwisho wa nukuu
Mkuu; mbona sijaona mahali Putin akisema anaomba huruma? Ninachokisoma hapo ni Rais Macron akimwambia Rais Putin kuwa yy Rais Macron yupo tayari kusaidia.......
Hayo maneno ya kuomba huruma naona ni ya kwako na siyo ya Putin au vp?
Inavyoonekana Putin yuko katika wakati mgumu sana. Just imagine wakuu wake wa kijeshi wameuawa wengi katika vita hiyo, baadhi ya askari wake "watiifu" waliotekwa wamegeuka na kuwa upande wa Ukraine, Baadhi ya wanajeshi wa jeshi lake wameasi na kuanzisha kundi linalojiita Legion kumpinga na kuanzisha/kufanya mapigano dhidi yake, wapo pia mercenaries wa kujitolea kutoka mataifa mbalimbali wanaomhujumu n.k.Sawa mkongwe, kwahiyo Putin ameanza kusanda sio?
Siku ya kwanza vita inaanza waukraine hawakupewa silaha yoyote ile,mbona putin hakusitisha vita wakati ule ambapo ukraine haikupewa silaha yoyote ile ?Naona watu mumesoma heading tu, bila content mkaanza comments. Putin kapigiwa simu na macron akiombwa asitishe vita, siye yeye aliyeomba Bali Macron. Naye jibu lilikuwa ni kumwambia macron vita itaendelea unless waache kuipa Ukraine silaha Kama kweli wanataka vita iishe.
Umetoa majibu mazuri, lakini nasikitika kukwambia huyo uliyemjibu hatakuelewa kabisa.Inavyoonekana Putin yuko katika wakati mgumu sana. Just imagine wakuu wake wa kijeshi wameuawa wengi katika vita hiyo, baadhi ya askari wake "watiifu" waliotekwa wamegeuka na kuwa upande wa Ukraine, Baadhi ya wanajeshi wa jeshi lake wameasi na kuanzisha kundi linalojiita Legion kumpinga na kuanzisha/kufanya mapigano dhidi yake, wapo pia mercenaries wa kujitolea kutoka mataifa mbalimbali wanaomhujumu n.k.
tena usisahau amewekewa vikwazo vya ki-uchumi ambavyo vimesababisha Raia wake wa Urusi wamchukie n.k. wakati huo huo Ukraine anapelekewa misaada ya kijeshi (silaha za kisasa na mafunzo) kwa hiyo ni kama anaelekea kuelemewa japo bado ni Mbabe.
Putin kweli moto umekata,nchi ndogo na maskini kama Ukraine nayo ina haki ya kuishi na kujiamlia mambo yake yenyewe.Putin atoe majeshi yake Ukraine vita vimalizike aache uhuni nani alimwambia avamie nchi ya watu.
Na iwe hivyo amina.Umetoa majibu mazuri, lakini nasikitika kukwambia huyo uliyemjibu hatakuelewa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili mali sana yeye alikusudia atakaye msaidia atapigwa na kweli anawapiga. We hujui jeshi la NATO , Israel na USA wanamalizwa Ukraine au bado upo usingizini.Ule mkwara wa atakaeisaidia Ukraine atakipata cha moto umekwisha [emoji3]
wew subili picha lenyewe lijekwa hiyo tunachokiona Ukraine ni advatise au sio!?
Wewe unadhani, lakin historia inasema hivyo.Sidhani kama Russia anamtafuta US, amtafute kwa kipi? US anaweza akawa anamuwinda Russia sababu kila akipanga mipango yake huwa Russia anaingia kuweka ugumu. Na anawea ugumu ili tu aaminishe dunia kuwa hakuna mwenye nguvu kijeshi kama yeye. Sasa awamu hii Russia kaingia pabaya.
Nashukuru kwa maelezo marefu lakini bahati mbaya sana hujajibu swaliAkili mali sana yeye alikusudia atakaye msaidia atapigwa na kweli anawapiga. We hujui jeshi la NATO , Israel na USA wanamalizwa Ukraine au bado upo usingizini.
Mbona wao hawarushi silaha kuelekea Urusi kama vidume wanaenda kurushia ndani ya Ukraine?
Hebu muambie Muingereza au USA warushe direct kutoka kwao uone Putin atawajibi au hawajibu?
mkuu mechi inachezwa siku moja tu Tena kwa masaa machache lakini maandalizi yanaweza kufanywa hata Mwezi mzima...Vita kamili ni ipi,maana pale anapigana vita toka February hadi leo.Kama ile vita siyo kamili,basi vita kamili itapigwa miaka mingi sana.
We mfuate Prof Shivji au Jenerali Ulimwengu wakwambue upumbavu wa Gadaffiebu tafuta historia ya UONGOZI wa Gaddafi kwanza alafu uje tena.
Mpuuzie tu.Nashukuru kwa maelezo marefu lakini bahati mbaya sana hujajibu swali