Rais Putin: Kama mnataka vita iishe acheni kuipa Ukraine silaha

Rais Putin: Kama mnataka vita iishe acheni kuipa Ukraine silaha

Ha ha ha! Nilitegemea angewapelekea huko huko kama alivyokuwa anajitapa kumbe hola! Kwa mikwara Putin kamzidi hadi Saddam.
ndio wajue hana mpango wakumaliza vita, na huenda akatangaza vita kamili.
 
PUMZI IMEKATA huyo.analia lia tu.
vita kaanzisha yeye alafu anataka wenzie wasisaidiwe yaani amuonee mwenzie watu wakae kimya
Made in china yupo kimiya Sana, hahahaha hahahaha asithubutu kumpa silaha Russia lasivyo uchumi unadondoka fasta kabisa
 
Lakini Putin aliyajua haya yote,alijua anakwenda kulipiga Taifa dhaifu kijeshi kuliko yeye,na Ukraine kusaidiwa alilijua mapema tu ndiyo maana akatoa lile onyo,sasa tunachoshangaa kwa nini asitekeleze kwa vitendo lile onyo lake kwa watakaomsaidia Ukraine?
unataka atekeleze vipi!? Kwamba muda huuhuu anaozozana na Ukraine aivamie pia Uingereza,Ufaransa,Ujerumani na hata Marekani!?
 
Kwamba tatizo mnamuwezesha msingefanya hivyo ningekua nishampiga na vita imeshaisha. So nyinyi ndiyo mnasababisha vita iwepo hadi leo.

No siyo udhaifu wa jeshi langu wala intelijensia. Tatizo ni silaha mnazompa
 
Hii vita haitaweza kuisha kirahisi.
Ukiichunguza kwa undani, kuna mataifa mawili makubwa hasim yanatafutana, labda muda tu.
US anamtafuta Russia, na Russia anaitafuta US, na mbabe kati ya hawa ndiye atakaye unda dola la NWO.
kwa hiyo tunachokiona Ukraine ni advatise au sio!?
 
Naona kama vile putin mwisho wake utakuwa kama mike Tyson baada ya kupigwa Evander Holly Field,
Baada ya lile pambano hata mabondia waliondoa woga wakaanza kuomba mchezo.
Urusi ilikuwa inaogopeka duniani ila kwa sasa kajishushia heshima.
Ona hii takataka nayo!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oparesheni miezi miwili sasa vita si atapigana miaka 20 asee hata akishinda atakuwa amechoka balaa. jamaa ye mwenyewe anamalizia malizia pumzi za mwisho kifo ni kwa kila mtu ila wazee ni kipaumbele .....
Mkuu operation ni ngumu zaidi kuliko vita kamili, kwasababu operation unapiga maeneo maalum lakini vita unabutua tu Kila kilichopo mbele yako, ndani ya muda mfupi wa mapambano nchi nzima inaweza kuonekana Kama ufukwe wa bahari...
 
mwandishi uliyeleta hii mada naona wachangiaji wengi hawajakuelewa.. wengi wanafikiri Putin ndo ameziomba nchi za magharibi zisitishe kutoka siraha kwa Ukraine.. kumbe Putin Alikuwa anamjibu macroni awambie ndugu zake waache Ku supply silaha ndo vita itakoma!

Watu wanasoma tu kichwa cha habari na kuanza kutiririka.
 
Ndio Putin wapige tu hakuna namna.
Mnapeleka silaha then mnamwambia anko Putin aache vita
NATO wanatwangwa kila siku
 
Unampiga mwenzio kwa Sababu gani?
Kwamba tatizo mnamuwezesha msingefanya hivyo ningekua nishampiga na vita imeshaisha. So nyinyi ndiyo mnasababisha vita iwepo hadi leo.

No siyo udhaifu wa jeshi langu wala intelijensia. Tatizo ni silaha mnazompa
 
Lakini Putin aliyajua haya yote,alijua anakwenda kulipiga Taifa dhaifu kijeshi kuliko yeye,na Ukraine kusaidiwa alilijua mapema tu ndiyo maana akatoa lile onyo,sasa tunachoshangaa kwa nini asitekeleze kwa vitendo lile onyo lake kwa watakaomsaidia Ukraine?
Hawezi tena kutekeleza Onyo lake lile kwani kwa sasa anashughulika i.e yuko bussy na Usalama wa Uhai wake binafsi kwani Jeshi lake aliloliamini mno sasa haliamini tena na limegawanyika na mojawapo ya kundi hasimu dhidi yake (Legion) limeapa kumtoa Roho yake kwa udi na uvumba 😭 😭. Sasa amegeuza kibao na sio onyo tena ila anasema kama wanataka vita iishe waache kumpa silaha Ukraine. Ni Kwa nini sasa? Anafahamu fika na anajua ukweli kwamba kwa Uwezeshwaji ki-Silaha unavyoendelea sasa Ukraine, na Morale ya wa-ukraine iliyopo bado kidogo Ukraine atafika/atatinga/atatua Moscow(Kremlin) na hajui yy atauficha wapi uso wake kwa aibu kuu itokanayo na maamuzi ya kijinga aliyofanya ya Uvamizi, Majigambo na Vitisho lukuki aliyokuwa anatoa e.g. Kutoa Onyo la kibeberu, Mauaji ya kutisha ya raia aliyofanya, Bomoa-bomao ya kibabe (reckless and indiscriminate demolishing of infrastructures) n.k.
 
mwandishi uliyeleta hii mada naona wachangiaji wengi hawajakuelewa.. wengi wanafikiri Putin ndo ameziomba nchi za magharibi zisitishe kutoka siraha kwa Ukraine.. kumbe Putin Alikuwa anamjibu macroni awambie ndugu zake waache Ku supply silaha ndo vita itakoma!
"...Putin Alikuwa anamjibu macroni awambie ndugu zake waache Ku supply silaha ndo vita itakoma! "
Mkuu; nauliza: kwani wasipoacha ku supply silaha itakuwaje? Mbona alipoanzisha vita ya Uvamizi hapakuwepo supply ya silaha iliyokuwa inafanyika? Ila sasa (if you read between the lines) hilo ni ombi la mtu mzima kupitia kwa Macroni. Yaani anamtuma Macron apeleke ujumbe huo kwa ndugu zake - Mbona mwanzoni alitoa Onyo na kuweka wazi kitakachotokea kwa yeyote atakaye supply silaha kwa Ukraine? .....Huyu jamaa Ubabe umekwisha na mashavu yamemshuka kwa aibu. Anatoa ushawishi kwa mzee Macroni atumie busara zake kuwakilisha kauli hiyo kwa ndugu zake 🤪.
 
Back
Top Bottom