Rais Putin: Kama mnataka vita iishe acheni kuipa Ukraine silaha

Kwahiyo Putin alikuwa anasubiri apigiwe simu na Macron ili atoe ombi la kuonewa huruma? Huna akili.
Mkuu; Kupigiwa simu isikupe shida. Hoja ni ujumbe alioutoa Putin kwenda Mataifa ya Ulaya kupitia kwa Macroni. Yaani ni sawa na Message sent and Delivered kwenye hizi simu zetu za mkononi. Lengo ni Ujumbe kwa wahusika umefikishwa.
By the way, mtoa mada ameandika hv, namnukuu: Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema mataifa ya Ulaya yanatakiwa kusaidia kumaliza vita dhidi ya Ukraine kwa kuweka shinikizo kwa Rais Volodymyr Zelensky na kusitisha kumpelekea silaha. mwisho wa nukuu.
Sasa wewe mwenye Akili umechapia maneno yako .... ombi la kuonewa huruma. Hayo maneno hayajatoka katika kinywa cha Putin. Kama ni mdau kachangia uzi kwa kutumia maneno hayo hilo ni jambo jingine. Na wewe jiongeze utumie maneno ya kwako upendavyo. 🙏
 
ugomvi wa kuchangiwa hata wakiwa watoto wadogo wanaweza kukupiga.
kwani mzee Gaddafi kaangushwa na Nani?kama sio hao wamarekani na wazungu waliowapa silaha raia
Gadaffi alikuwa hapendwi na raia wake alikuwa muuaji, ndio maana ikawa rahisi kummaliza
 
Mkuu; Kupigiwa simu isikupe shida. Hoja ni ujumbe alioutoa Putin kwenda Mataifa ya Ulaya kupitia kwa Macroni. Yaani ni sawa na Message sent and Delivered kwenye hizi simu zetu za mkononi. Lengo ni Ujumbe kwa wahusika umefikishwa.
By the way, mtoa mada ameandika hv, namnukuu: Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema mataifa ya Ulaya yanatakiwa kusaidia kumaliza vita dhidi ya Ukraine kwa kuweka shinikizo kwa Rais Volodymyr Zelensky na kusitisha kumpelekea silaha. mwisho wa nukuu.
Sasa wewe mwenye Akili umechapia maneno yako .... ombi la kuonewa huruma. Hayo maneno hayajatoka katika kinywa cha Putin. Kama ni mdau kachangia uzi kwa kutumia maneno hayo hilo ni jambo jingine. Na wewe jiongeze utumie maneno ya kwako upendavyo. 🙏
Weh Mzee!
Kati ya Putin na Macron nani amemtafuta mwenzake kupitia simu, yaani nani amepiga simu?
 
Nanukuu: Rais Macron ndiye aliyempigia simu Rais Putin na kusema yupo tayari kusaidia kumaliza mgogoro huo.Mwisho wa nukuu
Mkuu; mbona sijaona mahali Putin akisema anaomba huruma? Ninachokisoma hapo ni Rais Macron akimwambia Rais Putin kuwa yy Rais Macron yupo tayari kusaidia.......
Hayo maneno ya kuomba huruma naona ni ya kwako na siyo ya Putin au vp?
 
Sawa mkongwe, kwahiyo Putin ameanza kusanda sio?
 
Inavyoonekana Putin yuko katika wakati mgumu sana. Just imagine wakuu wake wa kijeshi wameuawa wengi katika vita hiyo, baadhi ya askari wake "watiifu" waliotekwa wamegeuka na kuwa upande wa Ukraine, Baadhi ya wanajeshi wa jeshi lake wameasi na kuanzisha kundi linalojiita Legion kumpinga na kuanzisha/kufanya mapigano dhidi yake, wapo pia mercenaries wa kujitolea kutoka mataifa mbalimbali wanaomhujumu n.k.
tena usisahau amewekewa vikwazo vya ki-uchumi ambavyo vimesababisha Raia wake wa Urusi wamchukie n.k. wakati huo huo Ukraine anapelekewa misaada ya kijeshi (silaha za kisasa na mafunzo) kwa hiyo ni kama anaelekea kuelemewa japo bado ni Mbabe.
 
Naona watu mumesoma heading tu, bila content mkaanza comments. Putin kapigiwa simu na macron akiombwa asitishe vita, siye yeye aliyeomba Bali Macron. Naye jibu lilikuwa ni kumwambia macron vita itaendelea unless waache kuipa Ukraine silaha Kama kweli wanataka vita iishe.
Siku ya kwanza vita inaanza waukraine hawakupewa silaha yoyote ile,mbona putin hakusitisha vita wakati ule ambapo ukraine haikupewa silaha yoyote ile ?
 
Inavyoonekana Putin yuko katika wakati mgumu sana. Just imagine wakuu wake wa kijeshi wameuawa wengi katika vita hiyo, baadhi ya askari wake "watiifu" waliotekwa wamegeuka na kuwa upande wa Ukraine, Baadhi ya wanajeshi wa jeshi lake wameasi na kuanzisha kundi linalojiita Legion kumpinga na kuanzisha/kufanya mapigano dhidi yake, wapo pia mercenaries wa kujitolea kutoka mataifa mbalimbali wanaomhujumu n.k.
tena usisahau amewekewa vikwazo vya ki-uchumi ambavyo vimesababisha Raia wake wa Urusi wamchukie n.k. wakati huo huo Ukraine anapelekewa misaada ya kijeshi (silaha za kisasa na mafunzo) kwa hiyo ni kama anaelekea kuelemewa japo bado ni Mbabe.
Umetoa majibu mazuri, lakini nasikitika kukwambia huyo uliyemjibu hatakuelewa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin atoe majeshi yake Ukraine vita vimalizike aache uhuni nani alimwambia avamie nchi ya watu.
Putin kweli moto umekata,nchi ndogo na maskini kama Ukraine nayo ina haki ya kuishi na kujiamlia mambo yake yenyewe.
Kaigia choo cha kike,atatwangwa hadi apate adabu.
Hizo silaha anazojivunia fundi ni muUkraine.
Yeye ni Vodka tu hana kitu.
Bila Ukraine Mother Russia hana kitu.
 
Ule mkwara wa atakaeisaidia Ukraine atakipata cha moto umekwisha [emoji3]
Akili mali sana yeye alikusudia atakaye msaidia atapigwa na kweli anawapiga. We hujui jeshi la NATO , Israel na USA wanamalizwa Ukraine au bado upo usingizini.

Mbona wao hawarushi silaha kuelekea Urusi kama vidume wanaenda kurushia ndani ya Ukraine?

Hebu muambie Muingereza au USA warushe direct kutoka kwao uone Putin atawajibi au hawajibu?
 
Sidhani kama Russia anamtafuta US, amtafute kwa kipi? US anaweza akawa anamuwinda Russia sababu kila akipanga mipango yake huwa Russia anaingia kuweka ugumu. Na anawea ugumu ili tu aaminishe dunia kuwa hakuna mwenye nguvu kijeshi kama yeye. Sasa awamu hii Russia kaingia pabaya.
Wewe unadhani, lakin historia inasema hivyo.
Tangu kabla ya soviet Union, na baada ya Soviety Union, kumekua na mvutano mkubwa sana wa kisiasa na Kijamii baina ya nchi hizi mbili,
Kwa kuwa mvutano huo haukua wa kijeshi, ni wa maneno tu kama ilivyo leo pamoja na sanctions mbalimbali wakiita Cold war.
 
Akili mali sana yeye alikusudia atakaye msaidia atapigwa na kweli anawapiga. We hujui jeshi la NATO , Israel na USA wanamalizwa Ukraine au bado upo usingizini.

Mbona wao hawarushi silaha kuelekea Urusi kama vidume wanaenda kurushia ndani ya Ukraine?

Hebu muambie Muingereza au USA warushe direct kutoka kwao uone Putin atawajibi au hawajibu?
Nashukuru kwa maelezo marefu lakini bahati mbaya sana hujajibu swali
 
Vita kamili ni ipi,maana pale anapigana vita toka February hadi leo.Kama ile vita siyo kamili,basi vita kamili itapigwa miaka mingi sana.
mkuu mechi inachezwa siku moja tu Tena kwa masaa machache lakini maandalizi yanaweza kufanywa hata Mwezi mzima...
 
Nashukuru kwa maelezo marefu lakini bahati mbaya sana hujajibu swali
Mpuuzie tu.

Anataka US na UK warushe silaha direct kutoka ktk ardhi yao kwenda Russia, umeona akili mbovu hizi?

Sasa US na UK arushe silaha kwenda Russia kwani US na UK ndo wamegombana na Russia au Ukraine?

Kama Russia hataki Ukraine ajiunge na NATO kisa NATO itasimamisha silaha za maanganizi Ukraine, kwanini yeye Russia asiangamize NATO ambae ndio anaonekana chanzo cha mzozo badala ya Ukraine?

Hawa vijana wa putin wanajitoa ufahamu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom