Rais Putin kubaki madarakani mpaka mwaka 2036

Kwanza ni mbovu anaishi kwa betri mwilini. Pili amekiri mwenyewe kuwa ni kichaa. Alipata U-Rais kwa sababu ya misuguano ya wana MTANDAO. Tusifanye makosa hayo, ataharibu uchumi na nchi itageuka ZIMBABWE.
 
Na unyonge wako anaokusifia nao jiwe kila siku, uwe na jeuri hata tu kufunga kamba za viatu vya Zitto, Lissu?
Maskini kuingia mbinguni itakuwa shida sana, maana so kwa wivu na roho mbaya hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hata wewe unamlamba Magufuli kiatu?? Na hicho ndiyo kiakufanya umuabudu.
 
Maazimio ya putin lazima yapate endorsement kutoka mahakama yao ya katiba kama ni sahihi na kuna kura ya maoni kama warusi watakubali.

Kwa Tanzania sidhani kama Magufuli anaweza endelea baada ya muhula wa pili.

Kilichomtokea Mangula ndani ya mkutano wao ni ishara CCM ni waheshimu wa katiba yao na mwenyekiti kwa kipindi alichopewa, otherwise kuna watu wakuweza kusumbua serikali yao muda wowote wakiamua.

Baada ya uchaguzi mwaka huu mambo yatakuwa tofauti kuelekea 2025 akutakuwa kuwa na tena na habari za raisi wetu mpendwa kutoka kwa kila mtu isipokuwa ni vita ya succession iliyowazi.

Watch this space
 
Ukishavimbiwa viporo vilivyochacha lazima uje kuchafua hali ya hewa humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukikubali kutembeza bakuli basi fuata masharti!Hivi akili zenu huwa mnaziacha wapi?Unataka US aende kumpangia Russia nini cha kufanya?Idiot
Rusia asimpangie ila wewe black akupangie anavyotaka? Ndio maana akawaita shimo la choo. Hii yote ni kutokana na kutokujielewa kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauunga mkono hoja.
 
Baba wa democracy duniani USA ataishia kukemea tu, hakuna lolote atafanya litamtisha Putin. Hakuna opposition leaders watakaoenda USA kuzuia nchi ya Russia isipate mkopo, vivyo hivyo kwa Xi ji Ping wa China. Sio lazima kufuata mfumo wa demokrasia kuongoza nchi. Wamagharibi wao wanaona democracy ni mfumo mzuri wasitulazimishe na sisi kuipenda hyo demokrasia. Mfumo wa demokrasia ni dhahania tu, haijawahi kuwepo zaidi ya propaganda tu. Haiwezekani majority wengi ndo wamchague kiongozi wa nchi Bali wenye nguvu wachache na matajiri ndo hufanya hivyo, rejea (electoral college) ya USA. Hata kama Hilary Clinton alipata kura nyingi kumzidi Trump haikutosha yeye kua rais wa USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimfananishe Putin na taka taka.

Putin’s Hawezi Kuwaumiza wananachi wake.

mishahara haijapanda tangu Huyu meko aingie madarakani .amekufanyia Nini?

madaraja? Na mikopo ya elimu ya juu kulipa 15%
Ona hili yai viza nalo!

Unamjua Putin wewe? Unafikiri ungekuwa kwa Putin ungeandika uharo humu alafu unaranda randa mitaani huku unaendelea kushiba makande kama huku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa za Africa ziko compatible na zile za Mashariki zaidi kuliko wale wasenge wa Magharibi!

It's high time for Africa kugeukia Mashariki zaidi!
 
Mambo haya yangemfanya awe Bora zaidi ya ubora alionao sasa ambao wananchi wazalendo tunamashaka nao.
- freedom of expression.
- Employment creation policy.
-
-
-

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ujumbe wa hovyo kabisa. Labda awe rais wa ukoo wako. JPM ndiye kiongozi mnafiki zaidi be afrika
 
Ukikubali kutembeza bakuli basi fuata masharti!Hivi akili zenu huwa mnaziacha wapi?Unataka US aende kumpangia Russia nini cha kufanya?Idiot
Ghadafi hakutembeza bakuli lakini bado walimhujumu
Hoja sio kutembeza bakuli hoja ni maslahi yao basi.
Hapa Afrika Mashariki hakuna dikteta wakumkuta Kagame na Mseveni lakini hawagusi maslahi ya Mabeberu wanakula na kipofu.
Sasa Sisi tunataka haki ya rasilimali zetu tutakipata chamoto.
Tuache wachukue watakacho wapendavyo tubaki na makombo ili vibaraka wao wafurahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nahisi bora atawale Maisha yann kuharibu pesa kwa kufanya uchaguzi tumeshapata muarubaini ya nini kuhangaika na chaguzi sasa hivi Tanzania hakuna matatizo tena baada ya miaka 60 ya utawala wa ccm sasa ivi wameweza kuondowa matatizo yote ya wabongo isipokuwa kitu kidogo tu ndio kimebaki ni matundu ya choo tu kwa mashule hilo basi
 
Rusia asimpangie ila wewe black akupangie anavyotaka? Ndio maana akawaita shimo la choo. Hii yote ni kutokana na kutokujielewa kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeitwa hivyo kwasababu tuna viongozi wapumbav!Unategemea misaada halafu unataka umwamba!Chagua moja,hujaona Kabudi wa Tz anayevimba na yule aliyeenda kuwabembeleza mabeberu,pathetic!
 
Hili la Putin, hutasikia hata US wakipiga kelele, ila ingekuwa nchi za Africa, ungesikia makelele dunia nzima, sbb kubwa ni umaskini wetu wa kuomba omba Umeanza vizuri ila ukamaliza vizuri zaidi



Well said MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…