Putin is a modern day dikteta, like China, Xi ni Rais wa maisha baada ya kubadilishwa kifungu cha katiba ya China ili atawale milele na nchi zingine kama North Korea, Saudi Arabia, Syria, Libya ya Ghadaffi, Iraq ya Sadam Hussein, Sudan, Uganda, Rwanda, Zimbabwe ya Mugabe, Gabon etc ni nchi zenye udikteta wa wazi wazi. So Russia and China ni nchi kubwa ingefaa kuwa mifano mizuri ya demokrasia duniani, kwa bahati mbaya sana ndio nchi zenye mifano mibaya kabisa na kinyume kabisa na demokrasia, yaani udikteta mtupu. Hili la Putin, hutasikia hata US wakipiga kelele, ila ingekuwa nchi za Africa, ungesikia makelele dunia nzima, sbb kubwa ni umaskini wetu wa kuomba omba