Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Haijalishi wananiona vipi. Kinachomatter najiona vipi. Najua nipo vizuri kwenye hizi issue. Ninasoma kila uchao.
Duh unasoma yet uko shallow usingesoma ingekuwaje ? Anyway hebu katafute kitu kinaitwa lubianka halafu uje utuelezee yaliyomo mule au yaliyokuwamo enzi hizo kwenye lubianka building
 
Hapo upo sawa kabisa. Ila kwa nini Urusi nae asiweke base zake pale Mexico,Canada ili wapambane vizuri na US. Why huyu Urusi anamwonea Ukraine ?
 
@Victoire
 
Duh unasoma yet uko shallow usingesoma ingekuwaje ? Anyway hebu katafute kitu kinaitwa lubianka halafu uje utuelezee yaliyomo mule au yaliyokuwamo enzi hizo kwenye lubianka building
Huna hoja.
 
hivyo vi bomber vinapigwa hata na s 200
S-200 hizi hizi zinazoshindwa na F-16 pale Syria? Humu mmejaa mahaba na kukataa uhalisia. B-2 ni stealth, B-52 haji kwenye range ya air defence system bali inatuma Tomahawk inaweza beba 20, B1B nayo haiji kwenye range inatuma precision guided missiles. Hizo S-200 zitafanya nini, tangu mashambulizi ya Israel nchini Syria yaanze ulishawahi ona ndege yoyote ya Israel imedondoshwa?

Ungesema S-400 ningekuelewa ila nazo bado hatujui effectiveness yake, hajizawahi shuhududia vita
 
Alijaribu kuweka cuba wakati wa leonid brezhnev JFK akapiga mkwala akasema nitakizamisha kwa mabomu hicho kisiwa ndio papa wa kanisa katoliki akaingilia Kati mgogoro ukaisha nyambizi zikageuza urusi hiyo ilikuwa 1963.
Hapo upo sawa kabisa. Ila kwa nini Urusi nae asiweke base zake pale Mexico,Canada ili wapambane vizuri na US. Why huyu Urusi anamwonea Ukraine ?
 
Hana akili yeyote. Ubabe tu sema mwisho wake soon unafika.
Dada nakuambia kwa upendo kabisa,Tena wala Mimi sikutusi.
Putin na mstaraabu kabisa ni mpenda amani na mwenye heshima kwa wengine.sio yeye TU Bali hata taifa lake.
USA ndio tatizo.
Tena Russia hii hii ya Putin Huwa inaomba uhusiano mzuri na USA lakini USA hula Kona.

USA ndio nchi inayoongoza Dunia kwa kufadhili mapinduzi katika nchi nyingi duniani lkn sio Russians.
 
Alijaribu kuweka cuba wakati wa leonid brezhnev JFK akapiga mkwala akasema nitakizamisha kwa mabomu hicho kisiwa ndio papa wa kanisa katoliki akaingilia Kati mgogoro ukaisha nyambizi zikageuza urusi hiyo ilikuwa 1963.
Waweke sasa hivi. Ili waende sawa na USA anavyoweka Poland n.k
 
Nini?Mpenda amani ?Wote washenzi tu. Angekuwa mpenda amani angetangaza leo sehemu ya Ukraine iliyo pro Russia ni nchi huru ?Angalieni mambo kwa ukweli na sio ushabiki.
 
Waweke sasa hivi. Ili waende sawa na USA anavyoweka Poland n.k
Russia hana sera za kivamizi yeye yuko defensive zaidi ila ukimzingua ndio utajua hujui USA yeye ni expansionist anapenda ugomvi muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…