Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

shida nikwamba hao unaowahisi wanahitajia hekima hua hawana hizo hekima
kwahio ssi tunasema acha inyeshe tuone panapovuja
 
'Kipenzi cha wanyonge'

Hivi unajiita mnyonge ili iweje? Kwanini ujidharau kiasi hiko kwaajili ya ujinga. Eti wanyonge daaah
Alimuokoa Assad.walikua wameshamwekea na tarehe ya kumtoa,Putin kapindua meza.
Alimuokoa Maduro,walishamweksa na tarehe ya kumgo'a na wakamuandaa na rais mbadala wa Venezuela,Putin akatibua mpango.
Kidunia Assad na Maduro ni wanyonge TU kwa USA.
 
Ndiyo maana Putin ameamua kuingia kule, anajua hataumia peke yake, Ulaya inamtegemea hivyo lazima na wao wataumia, at some point watalegeza tu
Hatuna shida sisi gesi tutamuuzia mchina [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tandika tena awatandike haswaa,, kwanza huu mgogoro ni Bora uwe Vita rasmi Ni opportunity ya Russia kuonyesha ukubwa wake Mara 3 ya vile dunia inavyo mfahamu , kwa hiyo wapigane tu ili Russia avune heshima zaidi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hekima toka kwa Nani !? Hao unaodhani kuwa wanahekima hao ni false flag , kawaida yao Ni kuhubiri Amani huku wameficha mapanga ,, so acha kiwake tu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji16][emoji16][emoji16]

Piga keleleeeeee
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ubabe bila akili umewahi kuona wapi ,?? Vita ni strategy ,Kuna strategy inayo fanyika bila matumizi ya akili kuwepo !?

Goooo Russia goooo piga hao mbwa
Nyie mnafurahia vita mnafikiri hamtaathirika. Mafuta yatapanda bei maradufu. Opec watatumia hii chance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…