Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Wananchi wanamsupport rais wao kama hawamtaki wangeandamana kama walivyofanya kwa Viktor Yanukovych

Na hayo majimbo Putin anayoyatambua Leo tokea 2014 serekali ya Ukraine ilishajitoa
Ukraine ethnicity hawataki kuwa upande wa Russia sababu hawaoni faida yake,inekuwa wanataka kuwa upande wa Russia kama watu humu wanavyotaka kutuaminisha,ile Kyiv ingeshachafuka siku nyingi,Russia wanajua weak point ya Ukraine ni ule upande wa East penye Russian ethnicity wengi na ndio wanaoi support Urusi,Siku Russia akirogwa akaivamia Kyiv ndio vita pale itakuwa mbaya sana maana hadi sasa kila raia wa Ukraine amepewa bunduki na kuwa trained kuilinda nchi yao,hiyo vita itakuwa mbaya sana na watu watakufa wengi mno kitu ambacho hata Putin mwenyewe nina uhakika hatotaka kitokee maana hata raia wake wengi hawaungi mkono kuivamia kijeshi Ukraine...
Ukraine kama nchi na raia wake wanataka kuwa upande wa magharibi hao wengine wanaojitenga ni ethnicity inawasumbua to nothing else...
 
Exactly tatizo Russia has nothing to offer in economy ndo changamoto kubwa aliyokua nayo

Putin ni moja wa kiongozi wa ajabu sana yaan Russia ni kubwa sana aachen petty issues, hakuna muwekezaji atakae wekeza Crimea au donbass sababu kumushawekewa vikwazo baada ya mda uchumi utacollapse anachofanya Putin ni ujinga

Putin apambane gdp ikue ndo njia rais ya yeye kuwa na ushawishi
 
Nasema hivi Putin atakufa kabla hajaivamia Ukraine. Anajiona yeye ni nani?Nimemsikiliza hotuba yake inaonekana kabisa adui yake ni USA. Si akavamie Alaska huko ?Stupid.
Umeandika kwa kutumia hisia na mihemko badala ya kutumia akili.
 
Haya siku pia tukisikia USA/Magharibi wanavamia taifa huru kwa kigezo hikihiki cha security concern,tuwe na msimamo huu huu tusigeuze tena shingo tuanze kulaumu na kuwalaani USA,tuwasifie kama tunavyoisifa Urusi leo...Msichokijua hii ni precedent imewekwa,siku utaskia china anaichukua Taiwan kwa nguvu,Utaskia USA anaivamia Cuba kwa kigezo hiki hiki kinachotumiwa na Putin,hakutakuwa na wa kumnyooshea mwenzie kidole,dunia itakuwa imeparaganyika...then there comes WW3.
 
Atauzia matajiri wa mafuta na gas washkaji zake wawekeze hotels na beach kama alivyowauzia kule Crimea nothing more...
 
Kwa kifupi mwisho wa siku USSR itarudi!!
 
Putin ni hatari kwa hii dunia. Yaani natamani afe tu. Dictator mkubwa huyu.
Are u talking using ant log if not log inverse of mouth or what? Dont u know that russia is the world peace maker? Ufwe wewe na ufyekelewe mbaliii PUTIN WILL BE THERE TO STAY.
 
Kwa kifupi mwisho wa siku USSR itarudi!!
Haiwez Rudi sababu ili uwe na ushawishi lazima uwe na nguvu kiuchumi, marekani Ina nguvu sio kwa sababu ya jeshi Bali uchumi wake ni Mkubwa na unainfluence kubwa sana kwenye global economy

Leo hii Russia imezidiwa na gdp na nchi kama Canada, soon ushishangae south Korea au Australia zikimpita, USSR ilikua na nguvu sana kiuchumi ndo Siri ya kuwa na nguvu,
 
Yaani Ukraine yenyewe ipo kama haipo, vurugu zinaendelea juu yake lakini wenyewe na viongozi wao wala hawajitisiki kusema chochote , imezubaa kama raia wa Tanzania.
 
Kwani Russia haipo Ulaya ?
 
Putin hapa kacheza kama pele nusu fainali ya mwaka 1958.
 
Kwani U.S.A alivamia Afghanistan kwa sababu ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…