Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Unaambiwa baada tu ya mechi kuisha, Wachezaji wamekula mgao wa milioni 21 kabla hata jasho halijakauka..
Na akaahidi mzigo mwingine kama huo endapo watashinda kila mchezo ulio mbele yao.
Ni muhimu Rais wetu akashauriwa kuwa anapotoa ahadi, awe anatoa ahadi ambazo zipo too specific.
Ukiahidi bilion kwa jina la Taifa stars, bado hiyo ahadi ipo kiujumla jumla na itakuwa under control ya TFF.
Na hiyo inakaribisha mazingira ya ujuaji kwenye migao ya wanaostahili kuwa wanufaika.
Ni bora ahadi hiyo ingetolewa specifically kwa wachezaji wa Taifa stars....kwa kiswahili kilichonyooka...
Vinginevyo yatatengenezwa mazingira fungu lingine libakizwe kwa visingizio chungu mzima...
Nasema hivyo kwasababu hata zile milioni 700 ambazo SAMIA aliwapa TFF baada ya kufuzu afcon iliyopita zilileta manung'uniko mengi kwa wachezaji kwenye migao.
Baadhi wakitaka hela igawanywe pasu, huku TFF ikisemekana kutaka kubakiza hela nyingine kwa ajiri ya mgao wa watu ambao walikuwa nje ya squad iliyofuzu.