permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kama hizi ndio akili, Tz tuna safari ndefu ya kupambana na ujingaRuto, anaakili sana, ameshawapumbaza Gen Z, who are behind them?, tactical failure!, uharibifu waliofanya bungeni wataufidia kwenye kodi watakazokatwa.
Acha tuone kesho itakuaje maana ukipita huko kwa wakina X ni kama jamaa bado wanataka kuendelea keshoRuto, anaakili sana, ameshawapumbaza Gen Z, who are behind them?, tactical failure!, uharibifu waliofanya bungeni wataufidia kwenye kodi watakazokatwa.
Ila Kenya nao wakianzaga wana seleka balaa
Sure lo muda utasema
Rutto kaanzisha hyo na kuitatua mwenyew ili kijiweka vizur kisiasaRais Ruto kaamua kukubali yaishe, kakubaliana na shinikizo la kizazi cha maandamano, Rais kasema hawezi kusaini mswaada huo. Sasa tuone nia ya kizazi cha maandamano ilikuwa na kupinga mswaada au wanajambo jingine?
Pongezi kwa Rais Ruto kwa kutuliza mihemko ya kizazi cha maandamano.
Rutto kaanzisha hyo na kuitatua mwenyew ili kijiweka vizur kisiasaRais Ruto kaamua kukubali yaishe, kakubaliana na shinikizo la kizazi cha maandamano, Rais kasema hawezi kusaini mswaada huo. Sasa tuone nia ya kizazi cha maandamano ilikuwa na kupinga mswaada au wanajambo jingine?
Pongezi kwa Rais Ruto kwa kutuliza mihemko ya kizazi cha maandamano.
Decentralized gangs/mobs hizi hazina mfumo wa kiuongozi ila walipo wawili mmoja ni kiongozi asiye na kiongozi. Ni sawa na walivyo Ali Shabab tu na ndio sababu ni ngumu kuwakabili.A leaderless group? How on earth were they given a go-ahead for maandamano???
povu la nini we ajuza?Wewe kama umezoea kipigo Cha mumewe Tulia tuli.
Hujajibu swali. Au Inglishi inakupiga chenga?Decentralized gangs/mobs hizi hazina mfumo wa kiuongozi ila walipo wawili mmoja ni kiongozi asiye na kiongozi. Ni sawa na walivyo Ali Shabab tu na ndio sababu ni ngumu kuwakabili.
Kivipi? Wabunge ndio wangeepusha kwa kuwasikiliza.Ila naona km alichelewa angeepusha ya jana
Kesho wanaenda ikuluAnawadekeza, alitakiwa awape kichapo cha haja kubwa mpaka washike adabu. Siku nyingine wataandamana kwenda ikulu wahuni hao
Hii utafanya kwz watu wasiojitambua kama Watz ambao kazi yao ni kulalia masikio.Anawadekeza, alitakiwa awape kichapo cha haja kubwa mpaka washike adabu. Siku nyingine wataandamana kwenda ikulu wahuni hao
Mawazo ya watu wasiosoma na standard 7 failures. Unadhan kila nchi ni Tanzania yenye raia viazi kama wewe. Mataifa mengine watu wanajielewa na serikali wana respect democracy ya watu, utaua raia wote unadhan kwa nchi zinazojielewa kufanya hivyo unatatua tatizo au unaongeza? Akili Kama zako ndio maana nchi hadi leo ipo chini ya CCMAnawadekeza, alitakiwa awape kichapo cha haja kubwa mpaka washike adabu. Siku nyingine wataandamana kwenda ikulu wahuni hao
Vijana wa tz mnawaza kunyanduana tu....mnyongwe!!!Nyie tatizo lenu mnaawaza thriiiiisamuuuu tuuu
Tutafanyaje sasa ndo starehe ya maskini...!Vijana wa tz mnawaza kunyanduana tu....mnyongwe!!!
Mzee baba hii sio Kariakoo tu ball ni nchi nzimaMungu wabariki Gen Z na wafanyabiashara wa Kariakoo walioamua kusimama kwenye haki.
Kwenye hiyo kauli yake kama tungekuwa na vijana wanaojitambua wangeanzia hapo hapo!Hapo ndio unaona umuhimu wa Katiba BORA enzi za Moi katiba ya Kenya ilikuwa ya HOVYO kama hii ya kwetu.
Moi alikuwa anawaua Wakenÿa wakiandamana na kuwawinda kama Digidigi lakini Katiba hii Mpya ya Kenya ni moja ya Katiba Bora Afrika.
Sisi hapa Binti Kiziwi anasema Katiba ni "Kijitabu tu.."
😖
Mfalme suleman alishasema " nikaviangalia vyote na kuona kuwa ni ubatili. " Wee hao wanajilisha upepo tuu wacha sie tuenjoy thriiiisamuuuuVijana wa tz mnawaza kunyanduana tu....mnyongwe!!!