BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kwa maana nyingine, yeye madelu atalilipa siyo?Eti madeluu anasema hakuna mtanzania atakayegongewa mlango alipe deni. Anaona wenzake hamnazo
lakini si umeambiwa ukweli ama ulitaka uje ubishiwe mlango ndio upate kuamini?Kwa maana nyingine, yeye madelu atalilipa siyo?
Ila sisi Watanzania huwa tunadhalauliana sana aisee
Ruto should have included Jimmy Wanjigi in the Task Force.Deni letu la Taifa linalipwa kwa Kodi hizi ambazo Daily zinaongezeka, na mbaya zaidi hatujui nani alikopa na kwa matumizi gani.Ila tunalipa.
Sana tunacho jua kuna Deni la Taifa ila lilikopwaje hatujui.
Kenya wao sasa Ruto ameamua deni la Taifa likaguliwe ili kujua uhalali wake make inawezekana kuna baadhi ya madeni ni ya Mchongo au watu walikopa Individauly wakala na sasa Serikali ndio inalipa.
View attachment 3034315
Je Sisi tunajua uhalali wa hili Deni la Taifa?
Huwezi kumaliza ujinga mitandaoni. Kasome!lakini si umeambiwa ukweli ama ulitaka uje ubishiwe mlango ndio upate kuamini?
We also need a Forensic Audit to avoid Gen Z type of economic and social disruptions in future. We are never immune!Deni letu la Taifa linalipwa kwa Kodi hizi ambazo Daily zinaongezeka, na mbaya zaidi hatujui nani alikopa na kwa matumizi gani.Ila tunalipa.
Sana tunacho jua kuna Deni la Taifa ila lilikopwaje hatujui.
Kenya wao sasa Ruto ameamua deni la Taifa likaguliwe ili kujua uhalali wake make inawezekana kuna baadhi ya madeni ni ya Mchongo au watu walikopa Individauly wakala na sasa Serikali ndio inalipa.
View attachment 3034315
Je Sisi tunajua uhalali wa hili Deni la Taifa?
LSK president declined the appointment….
She is dumb and stupid i see no reason for her decline…
Yule jamaa anahis watanzania ni watoto namchukia sanaKwa maana nyingine, yeye madelu atalilipa siyo?
Ila sisi Watanzania huwa tunadhalauliana sana aisee
She has given very good reasons for it. Are you saying her appointment is CONSTITUTIONAL! However the Auditor General is the one mandated by the Constitution of Kenya to conduct such an exercise.LSK president declined the appointment….
She is dumb and stupid i see no reason for her decline…
Do you think every one expect her doing that? Rutto knows that but he appointed her to be one of the witness to that exercise and provide her opinion and help …..!She has given very good reasons for it. Are you saying her appointment is CONSTITUTIONAL! However the Auditor General is the one mandated by the Constitution of Kenya to conduct such an exercise.
Hatua nzuri kwa wakenya🙌🙌Deni letu la Taifa linalipwa kwa Kodi hizi ambazo Daily zinaongezeka, na mbaya zaidi hatujui nani alikopa na kwa matumizi gani.Ila tunalipa.
Sana tunacho jua kuna Deni la Taifa ila lilikopwaje hatujui.
Kenya wao sasa Ruto ameamua deni la Taifa likaguliwe ili kujua uhalali wake make inawezekana kuna baadhi ya madeni ni ya Mchongo au watu walikopa Individauly wakala na sasa Serikali ndio inalipa.
View attachment 3034315
Je Sisi tunajua uhalali wa hili Deni la Taifa?
What is the use of having the office of the Auditor General in the Constitution of Kenya? If anything is unconstitutional KLS is supposed to point out and act accordingly! How does the issue of activism come in, in this case!?!? I support KLS.Do you think every one expect her doing that? Rutto knows that but he appointed her to be one of the witness to that exercise and provide her opinion and help …..!
The problem most of activist think that to cooperate of with government doing good things for the people will leave them dumb and nothing to criticise and they are hired to criticise this is why she can not join kenyan to find solutions because she thinks more on her cheap popularity!