D_ullah
Member
- Jul 21, 2022
- 43
- 62
Kijeshi askari anapo kuwa mbele ya mkubwa wake akiwa anaongea anakua anapaswa kukaa mguu pande na mikono huwa nyuma kuonesha utii wake kwa kiongozi wake huyo.
Kama ilivyo picha huwa na lugha ndani yake, Rais wa Kenya Ruto, kwa alivyo simama inaonesha kabisa kuwa ana Itii marekani ikimaanisha ameenda kupokea maagizo na maelekezo kwa ajili ya kuyatekeleza.
Ni lini Afrika tutakuwa na nguvu mbele ya hawa madhalimu wanao tunyanyasa tangu na tangu.