Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

Suala sio uzalendo wa kiafrika, suala ni fikra zetu zimefungwa, misaada na vitu tunaona vina manufaa havitusogezi mbele… kama kweli wana hitaji kutusaidia bila kuwa na mambo yao nyuma… wangeturuhusu au wangetupa teknolojia zao.
Ndugu yangu, dunia hii hata sisi kwa sisi mitaani tukisaidiana mara nyingi kama kuna maslahi ya pande mbili ni nadra sana mtu akusaidie tu bila kuwa na maslahi na wewe. Wewe kuwa maskini tu simu yako wiki nzima labda isiite utapiga wewe tu hata katika familia tu lakini sasa upate, utapigiwa na ndugu hata hujawahi kusikia.

Nchi za Magharibi ni ubepari tech wana makampuni binafsi na hawa wanatumia mabilioni kufanya research kupata product na future product sasa kweli waje wakupe wewe bure? wao wanalinda ili warudishe investment hakuna biashara ya bure.
 
Heshima aliyopewa Ruto US na bwana jb ni kubwa mpaka inafanya tujiulize maswali mengi sana why Kenya? au sababu kipindi cha Obama yeye bwana Bidden akiwa makamu na bwana Ruto akiwa makumu walivyo kutana waliambiana maneno kwamba one day we are going to be the Presidents sasa wakawa wanapongezana? Au sababu Kenya is home of his former boss ? Is it that kenya is very strategic in security areas ? Is it because of English language that there is big interaction between these two countries? Au sababu ya kuruhusu oshoga and the lke? Why?

Kilicho elezwa kuwa ni mshirika mkubwa nje ya NATO ni wazi sababu ni ya kiusalama na ulinzi ambayo nyuma yake kutakua na mambo mengine mengi yanayo husu agenda zingine nyingi, tujipe muda tu.
 
Acha ujinga wewe, kijeshi hiyo ni relaxation position that means whatever your senior is talking about can be even taken as a joke or story making to his subordinates . Amri daima hupekelewa in attention position. Don't talk something you're unknowledgeable with.....

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Chawa wa mama munahasira Sana , na ziara ya ruto USA ,
Maza wenu alipokelewa na mange,
nakumbuka alipokelewa kawaida sana walikua wanajua hana cha muhimu..... wenzetu wanaangalia unakujaje na umejipangaje kama ni mtu wa safari ili watu wapige pesa unakutanishwa na wa aina yako maana utaongea nn mbele ya buda mwenyewe
 
Ndugu yangu, dunia hii hata sisi kwa sisi mitaani tukisaidiana mara nyingi kama kuna maslahi ya pande mbili ni nadra sana mtu akusaidie tu bila kuwa na maslahi na wewe. Wewe kuwa maskini tu simu yako wiki nzima labda isiite utapiga wewe tu hata katika familia tu lakini sasa upate, utapigiwa na ndugu hata hujawahi kusikia.

Nchi za Magharibi ni ubepari tech wana makampuni binafsi na hawa wanatumia mabilioni kufanya research kupata product na future product sasa kweli waje wakupe wewe bure? wao wanalinda ili warudishe investment hakuna biashara ya bure.

Hivi unajua nchi za Afrika kuna mikataba imeingia ina tuzuia kuboresha na kuendeleza vitu flani hasa teknolojia bila kuwaomba wao ruhusa!?
Aiseee hii Afrika kuna vizuizi sana… kwanini wanasaidia Vikundi vya vurugu kongo ili wachukue madini ya kutengeneza simu na vitu vingine…

Kwanini wasiache ili wanunue kwa halali ili kongo ikue kupitia rasilimali zake, Siera lione na diamond, kwanini wasiache Nigeria ikuwe kwa amani na kufaidi mafuta yao na kuacha kudhamini vile vikundi vya waasi, kwanini waliipiga Libya.

Yoooh!!
 
View attachment 2998929
Kijeshi askari anapo kuwa mbele ya mkubwa wake akiwa anaongea anakua anapaswa kukaa mguu pande na mikono huwa nyuma kuonesha utii wake kwa kiongozi wake huyo.

Kama ilivyo picha huwa na lugha ndani yake, Rais wa Kenya Ruto, kwa alivyo simama inaonesha kabisa kuwa ana Itii marekani ikimaanisha ameenda kupokea maagizo na maelekezo kwa ajili ya kuyatekeleza.

Ni lini Afrika tutakuwa na nguvu mbele ya hawa madhalimu wanao tunyanyasa tangu na tangu.
Of course, Kenya is blood younng brother of USA.
 
Back
Top Bottom