Africa nzima ni wao tu wanaongea English?English language na TV coverage.Hakuna lingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Africa nzima ni wao tu wanaongea English?English language na TV coverage.Hakuna lingine.
Ndugu yangu, dunia hii hata sisi kwa sisi mitaani tukisaidiana mara nyingi kama kuna maslahi ya pande mbili ni nadra sana mtu akusaidie tu bila kuwa na maslahi na wewe. Wewe kuwa maskini tu simu yako wiki nzima labda isiite utapiga wewe tu hata katika familia tu lakini sasa upate, utapigiwa na ndugu hata hujawahi kusikia.Suala sio uzalendo wa kiafrika, suala ni fikra zetu zimefungwa, misaada na vitu tunaona vina manufaa havitusogezi mbele… kama kweli wana hitaji kutusaidia bila kuwa na mambo yao nyuma… wangeturuhusu au wangetupa teknolojia zao.
Heshima aliyopewa Ruto US na bwana jb ni kubwa mpaka inafanya tujiulize maswali mengi sana why Kenya? au sababu kipindi cha Obama yeye bwana Bidden akiwa makamu na bwana Ruto akiwa makumu walivyo kutana waliambiana maneno kwamba one day we are going to be the Presidents sasa wakawa wanapongezana? Au sababu Kenya is home of his former boss ? Is it that kenya is very strategic in security areas ? Is it because of English language that there is big interaction between these two countries? Au sababu ya kuruhusu oshoga and the lke? Why?
Acha ujinga wewe, kijeshi hiyo ni relaxation position that means whatever your senior is talking about can be even taken as a joke or story making to his subordinates . Amri daima hupekelewa in attention position. Don't talk something you're unknowledgeable with.....
nakumbuka alipokelewa kawaida sana walikua wanajua hana cha muhimu..... wenzetu wanaangalia unakujaje na umejipangaje kama ni mtu wa safari ili watu wapige pesa unakutanishwa na wa aina yako maana utaongea nn mbele ya buda mwenyeweChawa wa mama munahasira Sana , na ziara ya ruto USA ,
Maza wenu alipokelewa na mange,
Ndugu yangu, dunia hii hata sisi kwa sisi mitaani tukisaidiana mara nyingi kama kuna maslahi ya pande mbili ni nadra sana mtu akusaidie tu bila kuwa na maslahi na wewe. Wewe kuwa maskini tu simu yako wiki nzima labda isiite utapiga wewe tu hata katika familia tu lakini sasa upate, utapigiwa na ndugu hata hujawahi kusikia.
Nchi za Magharibi ni ubepari tech wana makampuni binafsi na hawa wanatumia mabilioni kufanya research kupata product na future product sasa kweli waje wakupe wewe bure? wao wanalinda ili warudishe investment hakuna biashara ya bure.
Niwe pamoja nawe kwenye ulichokiropokaJamaa amekaa kitumwa sana kama nyani wa serengeti.
Ona linavyokenua kwa woga huku limefyata mikono. Duh!
Of course, Kenya is blood younng brother of USA.View attachment 2998929
Kijeshi askari anapo kuwa mbele ya mkubwa wake akiwa anaongea anakua anapaswa kukaa mguu pande na mikono huwa nyuma kuonesha utii wake kwa kiongozi wake huyo.
Kama ilivyo picha huwa na lugha ndani yake, Rais wa Kenya Ruto, kwa alivyo simama inaonesha kabisa kuwa ana Itii marekani ikimaanisha ameenda kupokea maagizo na maelekezo kwa ajili ya kuyatekeleza.
Ni lini Afrika tutakuwa na nguvu mbele ya hawa madhalimu wanao tunyanyasa tangu na tangu.