Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

Kwa Sasa Kenya imepiga hatua sana kimataifa inabidi na sisi tuungane na china faster

Cina na mareakni wote ni Sarafu moja tofauti upande tu… Wote tu ni wa kuwa nao kwa akili lakini tujenge uwezo wa kujitegemea na kujifanyia maamuzi kwa malengo ya leo na kesho.
 
Wewe mbwiga kuwa na heshima basi wewe na ukoo wako mzima hamna ambae anaweza akakenua hivyo mbele ya Biden sioni tatizo kwa pozi la Ruto hizo ni genye zenu tu na mkisogea hapo mtakenua mpaka minduku yenu hiyo
Biden akikuomba kinyeo unampa?
 
Nimekumbuka tu vijana wa kijerumani walivyoingia ufukwe wa USA na U-BOATS ZAO na USA akawa hana cha kufanya.

Utaheshimika duniani kama watu wako wana akili na uwezo wa kuleta kitisho duniani.

Tuna hitaji kuwapa uwezo watu wetu wa kujiamini na kufanya mambo makubwa maana akili zipo isipokua nyezo na uzoefu.
 
Cina na mareakni wote ni Sarafu moja tofauti upande tu… Wote tu ni wa kuwa nao kwa akili lakini tujenge uwezo wa kujitegemea na kujifanyia maamuzi kwa malengo ya leo na kesho.
Pamoja na kujenga huo uwezo lazima kuwa na rafiki ambae mtashirikiana kwenye shida na raha
 
Ndio maana nimesema kuna maslahi mapama ya USA na Kenya na hili sio jambo baya kama lina maslahi na wakenya. US wako sehemu nyingi sana na kama wako Kenya pia halitakuwa jambo la kushangaza. Nakubaliana na wewe kuna maslahi mapana hapa sababu USA watakupokea vizuri tu na kukupa coverage ikiwa wanakuhitaji.

Uhitaji wao kwetu si kwa manufaa yetu kama afrika bali kujifaidisha wao…. Siamini hawa super power kuwa wana lengo na sisi afrika. afrika tumebanwa katika kona mbaya sana ambayo ni ngumu sana kutoka bila ushirikiano
 
Tuna hitaji kuwapa uwezo watu wetu wa kujiamini na kufanya mambo makubwa maana akili zipo isipokua nyezo na uzoefu.
Mkuu ni lini SS government itaanza kuwapa uwezo wa kuamini na kufanya mambo makubwa,
Maana nikama tz na Africa hawajapata Uhuru wa kifikra.

Na kwani ni kitu Gani kinacho zuia watu wetu wasijiamini kama Sio serikali zetu wenyewe.
F∆ck the government
 
Kwenye Shida ni kutupa mikopo yenye masharti ya kuendana na matakwa yao.. hakuna mzungu wa kuwa rafiki wa shida na raha.
Mikopo ya IMF, world bank haina shida, mbona Asian countries mfano Thailand, Malaysia, Japan.
Na wanafanikiwa kiviwanda, utalii,kilimo kutokana na mikopo
 
Uhitaji wao kwetu si kwa manufaa yetu kama afrika bali kujifaidisha wao…. Siamini hawa super power kuwa wana lengo na sisi afrika. afrika tumebanwa katika kona mbaya sana ambayo ni ngumu sana kutoka bila ushirikiano
Nadhani ungeachana na hizi fikra za Pan-Africanism, unajuwa wazi kabisa hili ni jambo gumu na halipo kabisa. Ikiwa kuruhusu visa free tu sisi wenyewe kwa wenyewe hatuwezi lakini nchi zingine za Ulaya, America hata Asia wako free sasa utaweza kuletea mambo makubwa ya msingi?.

Africanisim Tanzania yaliturudisha sana nyuma badala ya kuwa na agenda za nchi tu na kuweka maslahi yetu mbele kwanza. Kenya wako sawa kama linaleta manufaa kwao ni sawa 100% haya mambo ya Pan Africansim hayana uhalisia kama ndoto za kisiasa tu hazitekelezeki.
 
Kuna mtu nimemwambia Samia ni mshamba hajui anataka kufanya nini katika geopolitics na foreign policy.

Kakasirika na kubisha sana.
Samia hana maono, ye anasikilizia tu wapambe wake wanasemaje kisha anafuata!.
 
Ukweli lazima tukubali, Ruto kawakilisha maana coverage yake amepewa na media zote kubwa tena Live na sio viongozi wote wanapewa hii coverage hata wengine baadhi ya nchi za ulaya. Sasa kwanini Kenya/Ruto sina uhakika ila lazima kuna maslahi makubwa baina ya Kenya na USA.
Hebu acheni upoyoyo na nyie! Obama, raisi wa marekani, alikuja hapa hapa na kila pembe ya dunia ilijua. Kimetokea nini cha maana?!!!!! Itakuwa hiyo ya yeye kwenda huko?!!
 
Mwafrica amejikabidhi kwa beberu akitegemea beberu atamlainishia maisha.

Beberu ameua sana watu wake kufika hapo alipo halafu wewe unakwenda unataka lainilaini, lazima utafunwe tu.

Njia pekee yakujiletea maendeleo ni watu kufanya kazi kwa bidii na maarifa mengi,
 
Kuna kipindi tunavyokwenda huko kwa Beberu mkuu na mabeberu wenzie jamaa hutuona wajinga saana tuliochelewa matokeo yake hutupanda tu kadili wawezavyo.

Africa tusitegemee urahisi rahisi na kusaidiwasaidiwa katika harakati za kuijenga Africa baadala yake tujikite kujenga maarifa na vizazi vyenye akili na nidhamu
 
Back
Top Bottom