To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣Inawezekana pia kaficha jiwe anataka kumpiga nalo Biden.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Inawezekana pia kaficha jiwe anataka kumpiga nalo Biden.
Mkuu ni lini SS government itaanza kuwapa uwezo wa kuamini na kufanya mambo makubwa,
Maana nikama tz na Africa hawajapata Uhuru wa kifikra.
Na kwani ni kitu Gani kinacho zuia watu wetu wasijiamini kama Sio serikali zetu wenyewe.
F∆ck the government
Mikopo ya IMF, world bank haina shida, mbona Asian countries mfano Thailand, Malaysia, Japan.
Na wanafanikiwa kiviwanda, utalii,kilimo kutokana na mikopo
Nadhani ungeachana na hizi fikra za Pan-Africanism, unajuwa wazi kabisa hili ni jambo gumu na halipo kabisa. Ikiwa kuruhusu visa free tu sisi wenyewe kwa wenyewe hatuwezi lakini nchi zingine za Ulaya, America hata Asia wako free sasa utaweza kuletea mambo makubwa ya msingi?.
Africanisim Tanzania yaliturudisha sana nyuma badala ya kuwa na agenda za nchi tu na kuweka maslahi yetu mbele kwanza. Kenya wako sawa kama linaleta manufaa kwao ni sawa 100% haya mambo ya Pan Africansim hayana uhalisia kama ndoto za kisiasa tu hazitekelezeki.
huku mnashangilia kukopa, utaombaje mkopo bila kuweka mikono nyuma?View attachment 2998929
Kijeshi askari anapo kuwa mbele ya mkubwa wake akiwa anaongea anakua anapaswa kukaa mguu pande na mikono huwa nyuma kuonesha utii wake kwa kiongozi wake huyo.
Kama ilivyo picha huwa na lugha ndani yake, Rais wa Kenya Ruto, kwa alivyo simama inaonesha kabisa kuwa ana Itii marekani ikimaanisha ameenda kupokea maagizo na maelekezo kwa ajili ya kuyatekeleza.
Ni lini Afrika tutakuwa na nguvu mbele ya hawa madhalimu wanao tunyanyasa tangu na tangu.
Mwafrica amejikabidhi kwa beberu akitegemea beberu atamlainishia maisha.
Beberu ameua sana watu wake kufika hapo alipo halafu wewe unakwenda unataka lainilaini, lazima utafunwe tu.
Njia pekee yakujiletea maendeleo ni watu kufanya kazi kwa bidii na maarifa mengi,
Kuna kipindi tunavyokwenda huko kwa Beberu mkuu na mabeberu wenzie jamaa hutuona wajinga saana tuliochelewa matokeo yake hutupanda tu kadili wawezavyo.
Africa tusitegemee urahisi rahisi na kusaidiwasaidiwa katika harakati za kuijenga Africa baadala yake tujikite kujenga maarifa na vizazi vyenye akili na nidhamu
huku viongozi wakisifiwa kuliko hata MUNGU inasikitisha.Mikopo ya kufanya vitu visivyo na tija.
huku viongozi wakisifiwa kuliko hata MUNGU inasikitishaMikopo ya kufanya vitu visivyo na tija.
don lzm umnyenyekee,waulize waajiliwa,ushahidi umo humu jf.Ruto kaonyesha unyenyekevu wa Hali ya juu Kwa mabeberu
Benjamin mkapa, ndio kielelezo kizuri kuhusu mikopo, aliacha nchi ukiwa na deni kidogo, lakini baada ya Hapo mpaka SS pesa yetu haina Thamani kabisa,mara foreign currencies hazionekani, .Hio mikopo kaka ndio inaleta na mambo mengine yasio ya kwetu, hizo nchi ulizo zitaja zinachukua mikopo ikiwa tayari zimesha jipata kitamaduni na kimaendeleo… mikopo hata marekani na china wanayo… je mikopo tunayo pewa sisi na hizo nchi ulizo taja… masharti ni sawa… mazingira ywtu yana fanana!!!!??!
English language na TV coverage.Hakuna lingine.Heshima aliyopewa Ruto US na bwana jb ni kubwa mpaka inafanya tujiulize maswali mengi sana why Kenya? au sababu kipindi cha Obama yeye bwana Bidden akiwa makamu na bwana Ruto akiwa makumu walivyo kutana waliambiana maneno kwamba one day we are going to be the Presidents sasa wakawa wanapongezana? Au sababu Kenya is home of his former boss ? Is it that kenya is very strategic in security areas ? Is it because of English language that there is big interaction between these two countries? Au sababu ya kuruhusu oshoga and the lke? Why?
Kawa kawaida kaenda kuomba misaada, Kenya njaa kaliKuna msenge humu jf anasema Ruto ndio mfano wa kuigwa
Acha ujinga wewe, kijeshi hiyo ni relaxation position that means whatever your senior is talking about can be even taken as a joke or story making to his subordinates . Amri daima hupekelewa in attention position. Don't talk something you're unknowledgeable with.....View attachment 2998929
Kijeshi askari anapo kuwa mbele ya mkubwa wake akiwa anaongea anakua anapaswa kukaa mguu pande na mikono huwa nyuma kuonesha utii wake kwa kiongozi wake huyo.
Kama ilivyo picha huwa na lugha ndani yake, Rais wa Kenya Ruto, kwa alivyo simama inaonesha kabisa kuwa ana Itii marekani ikimaanisha ameenda kupokea maagizo na maelekezo kwa ajili ya kuyatekeleza.
Ni lini Afrika tutakuwa na nguvu mbele ya hawa madhalimu wanao tunyanyasa tangu na tangu.
Usibeze mkuu, hiyo ni njia ya kutengeneza mahusiano makubwa Sana kidiplomasia na kiuchumi. Jiulize rais wetu mama Samia alipodhuru Marekani alikaa na Biden na kuhutubia watu hivyo?Kawa kawaida kaenda kuomba misaada, Kenya njaa kali
Ushoga vp huo sio utamaduni wetu!!!Heshima aliyopewa Ruto US na bwana jb ni kubwa mpaka inafanya tujiulize maswali mengi sana why Kenya? au sababu kipindi cha Obama yeye bwana Bidden akiwa makamu na bwana Ruto akiwa makumu walivyo kutana waliambiana maneno kwamba one day we are going to be the Presidents sasa wakawa wanapongezana? Au sababu Kenya is home of his former boss ? Is it that kenya is very strategic in security areas ? Is it because of English language that there is big interaction between these two countries? Au sababu ya kuruhusu oshoga and the lke? Why?