Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

View attachment 2998929
Kijeshi askari anapo kuwa mbele ya mkubwa wake akiwa anaongea anakua anapaswa kukaa mguu pande na mikono huwa nyuma kuonesha utii wake kwa kiongozi wake huyo.

Kama ilivyo picha huwa na lugha ndani yake, Rais wa Kenya Ruto, kwa alivyo simama inaonesha kabisa kuwa ana Itii marekani ikimaanisha ameenda kupokea maagizo na maelekezo kwa ajili ya kuyatekeleza.

Ni lini Afrika tutakuwa na nguvu mbele ya hawa madhalimu wanao tunyanyasa tangu na tangu.
Sasa kwani kuna Taifa lolote la Africa ambalo halina Utii kwa Taifa la Marekani?
 
Anaepeleka polisi wa Kenya kwenda kusimamia amani Haiti ndani ya week 3, ilikuwa iwe week ijayo, wamesogeza kidogo bado kambi ya kufikia aijakamilika.

US ndio inayogharamia kila kitu mishahara ya polisi, inatoa vifaa na kuwatengenezea kambi ya kufikia.

Stability ya hilo eneo US ina interest nayo. Sasa kama kuna mtu wa kupeleka askari wake lazima wampambe. Nchi jirani wote na Haiti waliojaribu kwenda wameishia kukimbia; Kenya wao wanadhani wataweza.

Huo ndio msingi mkuu wa ziara ameenda kuweka final touches za kwenda Haiti na main sponsor (US). Mengine vikorombwezo tu as far as US is concerned.
 
Ruto anaonekana anakubalika sana marekani.maana kapokelewa na rais wa Nchi na baadhi ya barabara zikafungwa tofauti na yule mother alipokelewa na balozi wa tz na mange kimambi

Amepokelewa kiheshima kama unavyo sema kwa tsrategic maalumu, ndio maana umesikia Kenya imekuwa mshirika mkubwa kwa afrika nje ya NATO, kuna kitu kina sukwa na taarifa kwa wakubwa wenzake marekani… afrika ni majani kwenye vita ya mafahari kaka.
 
Ukweli lazima tukubali, Ruto kawakilisha maana coverage yake amepewa na media zote kubwa tena Live na sio viongozi wote wanapewa hii coverage hata wengine baadhi ya nchi za ulaya. Sasa kwanini Kenya/Ruto sina uhakika ila lazima kuna maslahi makubwa baina ya Kenya na USA.

Tutasifia katukalisha nchi zingine lakini kuna kitu nje ya haya tunayo yaona.. CIA yupo Kenya, kuna base ya jeshi la mmarekani pale, Afrika tunatumika… tunatakiwa kufikiria kwanini Marekani imemchagua yeye… yani urafiki wa hawa wadhalimu sio wa kweli.
 
Anaepeleka polisi wa Kenya kwenda kusimamia amani Haiti ndani ya week 3, ilikuwa iwe week ijayo, wamesogeza kidogo bado kambi ya kufikia aijakamilika.

US ndio inayogharamia kila kitu mishahara ya polisi, inatoa vifaa na kuwatengenezea kambi ya kufikia.

Stability ya hilo eneo US ina interest nayo. Sasa kama kuna mtu wa kupeleka askari wake lazima wampambe. Nchi jirani wote na Haiti waliojaribu kwenda wameishia kukimbia; Kenya wao wanadhani wataweza.

Huo ndio msingi mkuu wa ziara ameenda kuweka final touches za kwenda Haiti na main sponsor (US). Mengine vikorombwezo tu as far as US is concerned.

Kwanini Marekani hajapeleka Askari wake, haiti ina maisha ya tofauti kabisa na maisha ya kiafrika, kimazingira ni wazi hii kazi itakuwa ngumu kwao, bado kuna kitu nyuma ya Hii Ziara ambayo Rais Ruto ameenda kupokea maagizo tu. kenya iko sehemu nzuri strategically… Russia, China, nchi za Kiarabu zinapatolea macho pale.
 
We mwache Ruto na ujuaji wake, yetu macho.
 
Nimekumbuka tu vijana wa kijerumani walivyoingia ufukwe wa USA na U-BOATS ZAO na USA akawa hana cha kufanya.

Utaheshimika duniani kama watu wako wana akili na uwezo wa kuleta kitisho duniani.
 
Tutasifia katukalisha nchi zingine lakini kuna kitu nje ya haya tunayo yaona.. CIA yupo Kenya, kuna base ya jeshi la mmarekani pale, Afrika tunatumika… tunatakiwa kufikiria kwanini Marekani imemchagua yeye… yani urafiki wa hawa wadhalimu sio wa kweli.
Ndio maana nimesema kuna maslahi mapama ya USA na Kenya na hili sio jambo baya kama lina maslahi na wakenya. US wako sehemu nyingi sana na kama wako Kenya pia halitakuwa jambo la kushangaza. Nakubaliana na wewe kuna maslahi mapana hapa sababu USA watakupokea vizuri tu na kukupa coverage ikiwa wanakuhitaji.
 
Jamaa amekaa kitumwa sana kama nyani wa serengeti.

Ona linavyokenua kwa woga huku limefyata mikono. Duh!
Wewe mbwiga kuwa na heshima basi wewe na ukoo wako mzima hamna ambae anaweza akakenua hivyo mbele ya Biden sioni tatizo kwa pozi la Ruto hizo ni genye zenu tu na mkisogea hapo mtakenua mpaka minduku yenu hiyo
 
Wazungu wakikupa masharti yote ikiwamo kuwakubalia kuwapa mali zako na soko la bidhaa zao kukubaliana na ushoga na Usagaji , kuwaunga mkono Kwenye siasa zao UN lazima wakupe coverage kubwa!!

Angalia mobutu enzi zake alikuwa ndio kiongozi aliyeheshimiwa na wazungu kuliko Viongozi wote wa afrika !
 
Back
Top Bottom