Kwa Sasa Kenya imepiga hatua sana kimataifa inabidi na sisi tuungane na china faster
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chawa wa mama munahasira Sana , na ziara ya ruto USA ,
Maza wenu alipokelewa na mange,
Wakenya wangekuwa na light skin kama waethiopia wangeshaukana u africa siku nyingiKuna msenge humu jf anasema Ruto ndio mfano wa kuigwa
Nilicheka ile siku, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kifo Cha Queen Elizabeth, Viongozi Wa Africa Walisombwa Kwenye Coaster
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama yenu alipokelewa na Mange akaishia kumtumbua Waziri wake kwa wivu.
Biden akikuomba kinyeo unampa?Wewe mbwiga kuwa na heshima basi wewe na ukoo wako mzima hamna ambae anaweza akakenua hivyo mbele ya Biden sioni tatizo kwa pozi la Ruto hizo ni genye zenu tu na mkisogea hapo mtakenua mpaka minduku yenu hiyo
Nimekumbuka tu vijana wa kijerumani walivyoingia ufukwe wa USA na U-BOATS ZAO na USA akawa hana cha kufanya.
Utaheshimika duniani kama watu wako wana akili na uwezo wa kuleta kitisho duniani.
Pamoja na kujenga huo uwezo lazima kuwa na rafiki ambae mtashirikiana kwenye shida na rahaCina na mareakni wote ni Sarafu moja tofauti upande tu… Wote tu ni wa kuwa nao kwa akili lakini tujenge uwezo wa kujitegemea na kujifanyia maamuzi kwa malengo ya leo na kesho.
Ndio maana nimesema kuna maslahi mapama ya USA na Kenya na hili sio jambo baya kama lina maslahi na wakenya. US wako sehemu nyingi sana na kama wako Kenya pia halitakuwa jambo la kushangaza. Nakubaliana na wewe kuna maslahi mapana hapa sababu USA watakupokea vizuri tu na kukupa coverage ikiwa wanakuhitaji.
Mkuu ni lini SS government itaanza kuwapa uwezo wa kuamini na kufanya mambo makubwa,Tuna hitaji kuwapa uwezo watu wetu wa kujiamini na kufanya mambo makubwa maana akili zipo isipokua nyezo na uzoefu.
Mikopo ya IMF, world bank haina shida, mbona Asian countries mfano Thailand, Malaysia, Japan.Kwenye Shida ni kutupa mikopo yenye masharti ya kuendana na matakwa yao.. hakuna mzungu wa kuwa rafiki wa shida na raha.
Nadhani ungeachana na hizi fikra za Pan-Africanism, unajuwa wazi kabisa hili ni jambo gumu na halipo kabisa. Ikiwa kuruhusu visa free tu sisi wenyewe kwa wenyewe hatuwezi lakini nchi zingine za Ulaya, America hata Asia wako free sasa utaweza kuletea mambo makubwa ya msingi?.Uhitaji wao kwetu si kwa manufaa yetu kama afrika bali kujifaidisha wao…. Siamini hawa super power kuwa wana lengo na sisi afrika. afrika tumebanwa katika kona mbaya sana ambayo ni ngumu sana kutoka bila ushirikiano
Samia hana maono, ye anasikilizia tu wapambe wake wanasemaje kisha anafuata!.Kuna mtu nimemwambia Samia ni mshamba hajui anataka kufanya nini katika geopolitics na foreign policy.
Kakasirika na kubisha sana.
Naam,Samia hana maono, ye anasikilizia tu wapambe wake wanasemaje kisha anafuata!.
Halafu mange akamgeuka na kuanza kumtukana mpk chawa wakaenda kuwapiga magoti USA ifunge accounts za mitadao za mange.Chawa wa mama munahasira Sana , na ziara ya ruto USA ,
Maza wenu alipokelewa na mange,
Hebu acheni upoyoyo na nyie! Obama, raisi wa marekani, alikuja hapa hapa na kila pembe ya dunia ilijua. Kimetokea nini cha maana?!!!!! Itakuwa hiyo ya yeye kwenda huko?!!Ukweli lazima tukubali, Ruto kawakilisha maana coverage yake amepewa na media zote kubwa tena Live na sio viongozi wote wanapewa hii coverage hata wengine baadhi ya nchi za ulaya. Sasa kwanini Kenya/Ruto sina uhakika ila lazima kuna maslahi makubwa baina ya Kenya na USA.