Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

Nakusikitikia sana umeaminishwa ujinga.

Nyinyi endeleeni kukataa, wenzenu wanazitafuta fursa.


Ni wajinga msiyoelewa maana ya biashara z Kimataifa ni nini.
 
Huku Tanzania tuna watu wanafikra ya kichawi na hii imechangiwa na roho mbaya.

Watu wanawaza kukwamisha,kukomoa na kujitoa ufahamu tuu ili kuleta taharuki kwa jamii na mambo yakwame wafurahi, ni watu wa ajabu sana hawa wapinga maendeleo.
Ni watu wa ajabu sana.

Kiufupi ni wajinga kupita kiasi. Usione mbarabarani suti za mtumba ukawaona wa maana, hawana lolote.
 
"Akili mgando ndio tatizo hapa
Unafikiri nakula pensheni ya kijinga ya Tanzania?Nakula pensheni ambayo inaniwezesha kuwaajiri Watanzania kibao tu wanitazamie bustani zangu na mifugo yangu. Njoo utembee Kwa Mkanada, Mkuranga ujionee penshen inavyofanya kazi.
FaizaFoxy anakaa mkuranga hapo kwa mkanada hongera kumbe Jirani yangu,haisee pazuri kweli kama ulaya hongera sana.
 
Nakusikitikia sana umeaminishwa ujinga.

Nyinyi endeleeni kukataa, wenzenu wanazitafuta fursa.


Ni wajinga msiyoelewa maana ya biashara z Kimataifa ni nini.
Mjinga ni wewe unayetaka kutawaliwa na sio kufanya uwekezaji.

Kushusha makontena kuna uhusiano gani na kutawala Bandari zetu zote ukijumuisha na za kwenye Maziwa yote.?

Kama biashara sasa hivi tupo katika Uchumi huru na sio wa Monopoly wa kukimilikisha kikampuni kimoja cha ka mji ka Dubai fulsa zote za Bandari zetu?

Kama una masikio umesikia
 
Shetani: Hivi vyote nitakupa endapo utanisujudia😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…