Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

si mnayo serikali/nchi yenu ya zanzibar? wauzieni hawa waarabu na si tanganyika yetu
Kazi ya Mungu haina makosa.

Zanzibar unafikiri wanakung9oja wewe, wao zamani tayari, kimya kimya. Dunia ya leo siyo ya jana.
 
Takbil
 
Kwa JPM alishabikia wanafunzi wakipata ujauzito wasirudi shuleni.Aliandika kwamba ni viherehere vyao.Abishe!
 
Hamieni Kenya
 
Unafikiri nakula pensheni ya kijinga ya Tanzania?Nakula pensheni ambayo inaniwezesha kuwaajiri Watanzania kibao tu wanitazamie bustani zangu na mifugo yangu. Njoo utembee Kwa Mkanada, Mkuranga ujionee penshen inavyofanya kazi.
Mnamwabudu na kumsujudu Mwarabu!!
 
Hamieni Kenya
Kenya mbona wajanja kina Rostam washaanza mabiashara huko, unafikiri watyu wamelala kama wewe?

Ruto anawaita matajiri Watanzania usiku na mchana, unamuona mjinga yule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…