Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

si mnayo serikali/nchi yenu ya zanzibar? wauzieni hawa waarabu na si tanganyika yetu
Kazi ya Mungu haina makosa.

Zanzibar unafikiri wanakung9oja wewe, wao zamani tayari, kimya kimya. Dunia ya leo siyo ya jana.
 
Mimi natamani sana DP World waanze kazi leo kabla ya kesho. Nafahamu faida zake. Namshuru Mwenyezi Mungu nilipata "exposure" kubwa sana duniani huko.

Naifahamu Dubai na jinsi wanavyofanya biashara zao kiuaminifu mkubwa sana.

Waulize wafanya biashara na wajasiriamali tu wanaofanya kazi zao na Dubai. Watakueleza.
Takbil
 
Faiza

Waache watanzania waamue wao inavyofaa na si kutumia nguvu kiasi hiki

Lini umesikia ndege za Kenya zimekamatwa kwakidaiwa baada ya kuvunja mikataba ?

GESI tulipelekeshwa hivihivi matokeo yake Leo gesi n ghali kuliko nishat yoyote hapa nchini

Mkataba unajadiliwa siku tatu TU kisha unapitishwa kwa nguvu hii haikubaliki hata kidogo

Wakati wa jakaya faiza ulikuwa mstari wa mbele Sana kuukubali utawala ule MZALENDO John alipoingia madarakani ukageuka leo Samia unaunga juhudi

Faiza ungekuwa kila siku unaleta kifungu kimoja unachambua kutuelewesha ingekuwa vema Sana

Juhudi zinungwa kwa juma asha lakn akiwa Benja John Julius hapana
Kwa JPM alishabikia wanafunzi wakipata ujauzito wasirudi shuleni.Aliandika kwamba ni viherehere vyao.Abishe!
 
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.

Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.

Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.

Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.

Ushahidi huu hapa:


Hamieni Kenya
 
Hamieni Kenya
Kenya mbona wajanja kina Rostam washaanza mabiashara huko, unafikiri watyu wamelala kama wewe?

Ruto anawaita matajiri Watanzania usiku na mchana, unamuona mjinga yule?
 
Back
Top Bottom