Majini yatamuacha salama?!Ma Shaa Allah, hilo siyo nyuma ya pazia.
Nikikulingania Uislam elewa kuwa nakutakia mema. Unatakiwa uwahi
Wewe ushasema utakimbilia PEMBA. Kama ulivyokimbilia Mkuranga na Kibiti ule wakati wa Ugaidi. Ili Kufanya kazi ya kuwapikia chakula Magaidi.Haswaaaa, nikiokoa mtu mmoja ni kama nimeuokoa Ulimwengu mzima. Njoo ujisalimishe kwa Muumba wako. Achana na kuabudu mzungu.
Nikukuita we ni mpuuz nimekosea...najua una hisa na dp basi muwe na huruma na nchi muingie mkataba unaotujulisha miaka napia wenye kulinda maslah ya nchi.tusirudi utumwani karume aliwafukuza waarabu kwakukataa utumwa leo mnawarudisha kwa mlango mwngneNilikuwa nawapa ushauri mabepari namna ya kuzikamata ndege.
Umekula dhambi (hongo) kutoka Walodi & umekuwa mtumwa kuleta post kila dakika ...ila nyeng.e za hongo ni hatari mno.Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.
Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.
Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.
Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.
Ushahidi huu hapa:
Yaani waarabu walete maendeleo Afrika?serious au manataka wawe wengi ili mjengewe misikiti na kupewa misaada ya tender?Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.
Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.
Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.
Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.
Ushahidi huu hapa:
Achana na Mh Lissu kwanza mumekubaliana wa waloge tuu kisa wanapinga hongo mumekula walodiHapo ndipo kwangu. Karibu sana, Ma shaa Allah matunda kula mpaka uhare, bure. Mabwawa ya samaki wewe chota tu ukajipatie kitoweo na jirani zako, bure. AlhamduliLlah.
Tanzania ni nchi tajiri sana, Watanzania ndiyo wajinga. Mungu hajatupa vyote, katua nchi tajiri lakini mijitu eti misomi, kama Lussu. Khaa.
Mimi muislam alhamduliLLAHUsiuogope (phobia) Uislam ni mwema sana, wahi usije ukafa kafiri.
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.
Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.
Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.
Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.
Ushahidi huu hapa:
Una dongo zuri sana wallahi mshukuru Allah😁😁😁Upo wrong kijana, jaribu tena. Ntakupa hint nione kama zina chji.
Uhuru wa Tanganyika nimeushuhudia, Nimeishi na Nyerere kuanzia Waziri Mkuu mpaka kawa rais. AlhamduliLlah mpaka leo hii nipo na mama Samia.
Piga hesabu zako uje japo na miaka inayokaribiana.
Punguani wahed.
Hatuongelei iga wala igiza hapa.Faiza Foxy,
Nimeisikiliza video yote ya dakika 15.
Ni hotuba ya kuitangaza Kenya.
Kubwa: Hakuna mahali Ruto ameongelea IGA wala HGA.
Huo ndio ugomvi wa kikatiba na kisheria kati yetu na Dubai Investors.
Their strategy toward Tanzania is malicious!
Concessional and/or lease agreements kama ilivyokuwa kwa TICTS zinawatosha
Ama sivyo sasa tuambiwe ni miradi gani inayotekelezwa kwa mpigo katika "territories" za Tanzania na Dubai kiasi cha kulazimisha uwepo wa "mutual interests" zinazopaswa kuratibiwa chini ya IGA na HGA.
Kama Rais na familia yake wanataka kuwekeza Dubai vea, lakini sio kwa kutumia mgongo wa IGA/HGA ambazo ni nyenzo za kisheria zinazoihusu dola.
Tanzania at 60 is already mature to distinguish between "genuine foreign investent" and "settler colonialism"
Vipi kreni, zitakodishwa na nani?
Kenya wawekezaji wataendelea kwenda kuliko Tanzania maana wana siasa za kibepari. Lakini hapa kwetu pamoja na uoga uliopo, wawekezaji ni vigumu kuja maana bado tuna vimelea vya kijamaa, ambapo kiongozi anaweza kuamka na kuamua kutaifisha mali ya mwekezaji.Kuna kitu unalazimisha wakati sio halisi na kweli.
Hakuna nchi inayokataa wawekezaji wa kigeni, hata Tanzania tunataka sana waarabu wawekeze Tanzania, lakini hakuna nchi inayotaka wawekezaji wa kigeni waje kumilikishwa rasilimali zao ili wananchi wao wabakie watumwa na manamba wa wageni, hata Tanzania hatutaki huo ujinga.
Yote kwa yote, machafuko ya kila mara ya Kenya hayawezi kumvutia muwekezaji yoyote.
Kuna tuhuma kundi Fulani wakiwemo Mawaziri,wabunge, wahariri, na Chawa kama huyu mwandishi wamehongwa kutetea wizi wa maliasili zetu.Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.
Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.
Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.
Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.
Ushahidi huu hapa:
Nakuambia ukweli wewe Bibi. Sisi Wakristo tumesha maliza kila kitu na pesa tunayo ndio maana hatuhangaiki kujitetea.AlhamduliLlah.