Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

Haswaaaa, nikiokoa mtu mmoja ni kama nimeuokoa Ulimwengu mzima. Njoo ujisalimishe kwa Muumba wako. Achana na kuabudu mzungu.
Wewe ushasema utakimbilia PEMBA. Kama ulivyokimbilia Mkuranga na Kibiti ule wakati wa Ugaidi. Ili Kufanya kazi ya kuwapikia chakula Magaidi.

Wewe najua huwezi kukaa kwenye utawala wa Kiislamu unaowafungia ndani wanawake kama mifugo, huku wakiwa wamefunikwa mitambala mweusi nyayoni hadi utosini.
Kazi yako ni kufanya Ugaidi na kukimbia.

Kwa taarifa yako tushafahamu mikakati yenu na kamwe haita fanikiwa huku Tanga na Nyika.

Msahau hiyo habari na mrudishie pesa za Muarabu au awachukue kuwa watumwa wake.
Hapa ndio mmefika
 
Nilikuwa nawapa ushauri mabepari namna ya kuzikamata ndege.
Nikukuita we ni mpuuz nimekosea...najua una hisa na dp basi muwe na huruma na nchi muingie mkataba unaotujulisha miaka napia wenye kulinda maslah ya nchi.tusirudi utumwani karume aliwafukuza waarabu kwakukataa utumwa leo mnawarudisha kwa mlango mwngne
 
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.

Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.

Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.

Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.

Ushahidi huu hapa:

Umekula dhambi (hongo) kutoka Walodi & umekuwa mtumwa kuleta post kila dakika ...ila nyeng.e za hongo ni hatari mno.
 
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.

Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.

Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.

Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.

Ushahidi huu hapa:

Yaani waarabu walete maendeleo Afrika?serious au manataka wawe wengi ili mjengewe misikiti na kupewa misaada ya tender?
Ghadafi alikuwa tajiri,alipopewa nafasi ya kuwekeza nchini,akajenga msikiti Dodoma!sasa msikiti unazalisha nini,zaidi ya kukusanya maamuma,
Visima vyao vyote vya mafuta,vinachimbwa na makampuni ya ulaya,sasa hawa Arabs wanakuja kuwekeza nini?
Wapo pale zenj,wamefanya nini cha maana?Arabs,Muslim wao kipaumbele ni kuwa wengi na kusambaza dini,mambo ya uchumi ni zero tupu
 
Hapo ndipo kwangu. Karibu sana, Ma shaa Allah matunda kula mpaka uhare, bure. Mabwawa ya samaki wewe chota tu ukajipatie kitoweo na jirani zako, bure. AlhamduliLlah.

Tanzania ni nchi tajiri sana, Watanzania ndiyo wajinga. Mungu hajatupa vyote, katua nchi tajiri lakini mijitu eti misomi, kama Lussu. Khaa.
Achana na Mh Lissu kwanza mumekubaliana wa waloge tuu kisa wanapinga hongo mumekula walodi
 
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.

Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.

Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.

Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.

Ushahidi huu hapa:

Faiza Foxy,

Nimeisikiliza video yote ya dakika 15.

Ni hotuba ya kuitangaza Kenya.

Kubwa: Hakuna mahali Ruto ameongelea IGA wala HGA.

Huo ndio ugomvi wa kikatiba na kisheria kati yetu na Dubai Investors.

Their strategy toward Tanzania is malicious!

Concessional and/or lease agreements kama ilivyokuwa kwa TICTS zinawatosha

Ama sivyo sasa tuambiwe ni miradi gani inayotekelezwa kwa mpigo katika "territories" za Tanzania na Dubai kiasi cha kulazimisha uwepo wa "mutual interests" zinazopaswa kuratibiwa chini ya IGA.

Hatutaki kumungunya aneno; Kama Rais na familia yake wanataka kuwekeza huko Dubai vema, lakini sio kwa kutumia mgongo wa IGA/HGA ambazo ni nyenzo za kisheria zinazohuisha mahusiano ya dola na dola.

Tanzania at 60 is already mature to distinguish between "genuine foreign investment" and "settler colonialism"

Note this carefully:

1689846636763.png

One, the copy of IGA we have states nowhere the so called "mutual objectives". It only mentions "mutually reinforcing objectives" or rather "complementary objectives."

Two, all mentioned "areas of cooperation" are located "in Tanzania."

And three, the prevailing legal framework is necessary and sufficient for facilitating orderly and peaceful business conduct as required by all foreign investors in our private sector without resorting to IGA and HGA.

If so, why did Johari Hamza and his team fall into the sovereignty-eroding IGA-HGA trap?

This question needs an answer!
 
Upo wrong kijana, jaribu tena. Ntakupa hint nione kama zina chji.

Uhuru wa Tanganyika nimeushuhudia, Nimeishi na Nyerere kuanzia Waziri Mkuu mpaka kawa rais. AlhamduliLlah mpaka leo hii nipo na mama Samia.

Piga hesabu zako uje japo na miaka inayokaribiana.

Punguani wahed.
Una dongo zuri sana wallahi mshukuru Allah😁😁😁
 
Wapigaji wa Tanzania hawawazi future ya taifa na watu wake, bali wanawaza maslahi binafsi na ya Chama.

Wapigaji wa Kenya, huwa wanaiweka kenya mbele kwanza kwenye jambo lolote halafu ndio maslahi yao hufuata.
 
Faiza Foxy,

Nimeisikiliza video yote ya dakika 15.

Ni hotuba ya kuitangaza Kenya.

Kubwa: Hakuna mahali Ruto ameongelea IGA wala HGA.

Huo ndio ugomvi wa kikatiba na kisheria kati yetu na Dubai Investors.

Their strategy toward Tanzania is malicious!

Concessional and/or lease agreements kama ilivyokuwa kwa TICTS zinawatosha

Ama sivyo sasa tuambiwe ni miradi gani inayotekelezwa kwa mpigo katika "territories" za Tanzania na Dubai kiasi cha kulazimisha uwepo wa "mutual interests" zinazopaswa kuratibiwa chini ya IGA na HGA.

Kama Rais na familia yake wanataka kuwekeza Dubai vea, lakini sio kwa kutumia mgongo wa IGA/HGA ambazo ni nyenzo za kisheria zinazoihusu dola.

Tanzania at 60 is already mature to distinguish between "genuine foreign investent" and "settler colonialism"
Hatuongelei iga wala igiza hapa.

Vipi kreni, zitakodishwa na nani?
 
Kuna kitu unalazimisha wakati sio halisi na kweli.

Hakuna nchi inayokataa wawekezaji wa kigeni, hata Tanzania tunataka sana waarabu wawekeze Tanzania, lakini hakuna nchi inayotaka wawekezaji wa kigeni waje kumilikishwa rasilimali zao ili wananchi wao wabakie watumwa na manamba wa wageni, hata Tanzania hatutaki huo ujinga.

Yote kwa yote, machafuko ya kila mara ya Kenya hayawezi kumvutia muwekezaji yoyote.
Kenya wawekezaji wataendelea kwenda kuliko Tanzania maana wana siasa za kibepari. Lakini hapa kwetu pamoja na uoga uliopo, wawekezaji ni vigumu kuja maana bado tuna vimelea vya kijamaa, ambapo kiongozi anaweza kuamka na kuamua kutaifisha mali ya mwekezaji.
 
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.

Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.

Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.

Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.

Ushahidi huu hapa:

Kuna tuhuma kundi Fulani wakiwemo Mawaziri,wabunge, wahariri, na Chawa kama huyu mwandishi wamehongwa kutetea wizi wa maliasili zetu.
 
AlhamduliLlah.
Nakuambia ukweli wewe Bibi. Sisi Wakristo tumesha maliza kila kitu na pesa tunayo ndio maana hatuhangaiki kujitetea.

Hiyo Bandari tunaweza kuiendesha na ikaleta faida kubwa kuliko hao DPW. ila hatutaki mambo ya Udini.

Nakuambia rudisha pesa ya Waarabu uliyo kula kwa kuona Watanganyika ni bado wajinga. Uliyo kula ili ushinde uchaguzi wa 2025.

Tumewapa Uraisi kwa heshima tu. Maana tunathamini watu. Sasa hivi tuko vizuri na tumesoma sana na tunawaangalia tu.

Wewe Bibi nakuambia huwezi kuanzisha vita na Wakristo na ukabaki salama.

Uliza mambo ya Afrika ya kati ya Anti Baraka. Uliza Krusade War, au Seven days War, au Thirty Years War.

Hizo vita zote Wakristo walishinda kwakuwa walipewa nguvu na Mungu Mwenye Enzi kuanzia hapo Kale.
Ila hawakutaka kuiangamiza dunia na wakatulia.

Mwisho mnaishia kulia lia tu na kutaka kuonewa huruma kama kule Uhindini kwa Wa budha. Sisi Wakristo ndio tunayo utawala dunia.

Wakristo ni wapole sana na ndio wenye nguvu hapa Duniani.
Mnavyo furukuta tunawaachia tu na kuwaona kama watoto wachanga.

DP World sio Mkataba ila ni hujuma za baadhi ya Waislamu kama wewe dhidi ya Wakristo na Sisi Wakristo hatujakubali.
Sasa wewe mke wa Al- Shababu endelea kutema pumba zako.

Tutakufuata ghafla huko Ulikojificha Mkuranga na Kibiti. na nakuambia
Huta hororoja tena huo Uharo wako.

Kama unabisha endelea kuhororoja.
Huo Uharo wako.
 
Back
Top Bottom