Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

Communism na socialist ni madikteta wa kutupwa.
Ukiacha udikteta Bali ni mfumo wa kujenga umaskini na kuua ubunifu,huu ni mfumo ambao unategemea propaganda kwenye uchumi Hadi siasa..

Sasa kuwa na mawazo ya kindezi kiasi hicho Nchi haiwezi kusonga
 
Shida nini??,Kodi ya kanisa pale bandini itaondoka tu hata mpige kelele kiasi gani
Kanisa lina pesa ndefu na halitegemei msaada wa yeyote.
Hata Bakwata pia inasamehewa kodi hapo Bandarini.

Msipeleke hili swala kwenye Udini na Uarabu.
Kama mnapenda hivyo basi tulihamishie huko tujue tuna anzia wapi.
Mimi binafsi sina shida na Dini ya mtu wala Uarabu na hapo juu nimeandika vizuri tu.
 
Ukiacha udikteta Bali ni mfumo wa kujenga umaskini na kuua ubunifu,huu ni mfumo ambao unategemea propaganda kwenye uchumi Hadi siasa..

Sasa kuwa na mawazo ya kindezi kiasi hicho Nchi haiwezi kusonga
Socialism na umaskini ni moyo na damu vinahitajiana sana.
 
Ni kweli nimeliona Hilo tamko na Kila mtanzania anayetakia kheri nchi yetu tunasubiri utekelezaji wa maoni ya watu wengi wanayotoa kwenye social media, press na majukwaa mengine pamoja na walaka tofauti tofauti.

Upande wa Prof. Tibaijuka personal Kila binadamu anamapungufu na Kila binadamu Kuna sehemu alifanya makosa, hii haifanyi hasiaminike milele. ( No body is perfect)
Kila binadamu anaubora wake na mapungufu yake chota ubora mapungufu achana nayo.
Yaani tunawaona wasomi wajinga pale wanapochota mali zenye kuwatosha wao na vizazi vyao watoto na wajukuu zao,then baadae wanarudi wanajifanya WAZALENDO,what the fu.......k
 
Kanisa lina pesa ndefu na halitegemei msaada wa yeyote.
Msipeleke hili swala kwenye Udini na Uarabu.
Kama mnapenda hivyo basi tulihamishie huko tujue tuna anzia wapi.
Mimi binafsi sina shida na Dini ya mtu wala Uarabu na hapo juu nimeandika vizuri tu.
Haliwezi kua na shida SBB limechota sana
 
Sasa we unaona akili ya Ruto na bibi ziko sawa??

Ngoja nikupe tofauti;
1. Ruto anasoma, bibi anaambiwa tu.
2. Ruto anaelewa, bibi hadi afafanuliwe muda mrefu.
3. Ruto aliotesha muembe ndio akavuna dodo, bibi kaokota dodo chini ya mbuyu.
4. Ruto anafanya mwenyewe,bibi yupo under remote control.
5. Ruto anatumia brain, bibi hapendi kujichosha.
6. Ruto ana matamanio na kenya mpya zaidi, bibi anawaza kuna mtandio gani mpya, kuna abaya gani jipya, kuna splash gani yenye manukato mazuri.
 
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.

Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.

Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.

Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.

Ushahidi huu hapa:

Unawapenda hao magaidi au Kwasababu umesomea shahada yako ya awali ya mawasiliano angani huko?
 
Tanzania Kuna watu wajinga na mambumbumbu sana so ukiwasikiliza hao utashindwa kujenga uchumi wa Nchi.

Ni kuwapuuza wakileta fyoko fyoko vunja mguu, haiwezekani mtu hana hela hana chochote Cha maana anasaidia Nchi Ina kazi yake ni kupotosha na kuchochea vurugu na kuharibu uchumi.
Huwezi wavunja wote kabla awajakuvunja upaswi kuogopa kelele za chura
 
Do world walikataliwa Kenya.

Mawazo ya kiutumwa hayo kutegemea waarabu.

Sisi tunaweza kusimamia raslimali zetu,

Kama ccmmm wameshindwa, tuteue chama kingine kitatuvusha.
 
Huwezi wavunja wote kabla awajakuvunja upaswi kuogopa kelele za chura
Unawavunja tuu,wako wapi kina Besigye,Yule msanii wa Uganda? Museveni kawafanyaje? Hata hapa Tzn wachache wanatakiwa kushughulikiwa iwe mfano.
 
Haliwezi kua na shida SBB limechota sana
Wacha udini wewe dogo. Kanisa ni tajiri kuanzia enzi za mfalme Suleimani.
Rekebishani huo mkataba tufanye Biashara.
Mimi nimemwoa Mwarabu pure kabisa, na ni Mwislamu.
 
Mimi natamani sana DP World waanze kazi leo kabla ya kesho. Nafahamu faida zake. Namshuru Mwenyezi Mungu nilipata "exposure" kubwa sana duniani huko.

Naifahamu Dubai na jinsi wanavyofanya biashara zao kiuaminifu mkubwa sana.

Waulize wafanya biashara na wajasiriamali tu wanaofanya kazi zao na Dubai. Watakueleza.

Sasa mbona wanamakesi lukuki katika nchi mbali mbali Duniani kuhusu huo uwekezaji ? Eeeeh ?!?!
 
Unawavunja tuu,wako wapi kina Besigye,Yule msanii wa Uganda? Museveni kawafanyaje? Hata hapa Tzn wachache wanatakiwa kushughulikiwa iwe mfano.
At the huwezi wamaliza wote yupo wapi shujaa wa Africa.
Mbinu ya kuwapuuza ni nzuri Zaid
 
Chato kuna waarabu??
Wengi sana.

Wapo pale miaka mingi sana na kuna wengine walishaondoka miaka mingi sana. Chato haijawacha kuwa na Waarabu.

Kijana Usukumani kuna Waarabu wanaongea kisukuma kuliko wasukuma. Jionee:

Mleta hoja acha kuwa mpuuzi kama wanasiasa.
1, Kinachopingwa hapa sio uwekezaji bali masharti ya hovyo na kifisadi waliyoingia hiki kikundi cha kifisadi!
2, Sidhani kama wakenya wanaweza kupelekan mkataba haramu kama ule!
3. Kwa ufupi hawa watetezi wa mkataba huu wamejali maslahi yao binafsi kuliko ya nchi kisa "kile kitu" kilicholaaniwa na Mola!
 
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.

Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.

Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.

Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.

Ushahidi huu hapa:

Kwa nn unataka tuwe kama Kenya? Sisi watanganyika hatuwataki hao waarabu wapeni CCM, bunge, polisi na serikali ya ccm.
 
Back
Top Bottom