Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

Nakuambia ukweli wewe Bibi. Sisi Wakristo tumesha maliza kila kitu na pesa tunayo ndio maana hatuhangaiki kujitetea.

Hiyo Bandari tunaweza kuiendesha na ikaleta faida kubwa kuliko hao DPW. ila hatutaki mambo ya Udini.

Nakuambia rudisha pesa ya Waarabu uliyo kula kwa kuona Watanganyika ni bado wajinga. Uliyo kula ili ushinde uchaguzi wa 2025.

Tumewapa Uraisi kwa heshima tu. Maana tunathamini watu. Sasa hivi tuko vizuri na tumesoma sana na tunawaangalia tu.

Wewe Bibi nakuambia huwezi kuanzisha vita na Wakristo na ukabaki salama.

Uliza mambo ya Afrika ya kati ya Anti Baraka. Uliza Krusade War, au Seven days War, au Thirty Years War.

Hizo vita zote Wakristo walishinda kwakuwa walipewa nguvu na Mungu Mwenye Enzi kuanzia hapo Kale.
Ila hawakuta kuiangamiza dunia na wakatulia.

Mwisho mnaishia kulia lia tu na kutaka kuonewa huruma kama kule Uhindini kwa Wa udha. Sisi Wakristo ndio tunayo utawala dunia.

Wakristo ni wapole sana na ndio wenye nguvu hapa Duniani.
Mnavyo furukuta tunawaachia tu na kuwaona kama watoto wachanga.

DP World sio Mkataba ila ni hujuma za baadhi ya Waislamu kama wewe dhidi ya Wakristo na Sisi Wakristo hatujakubali.
Sasa wewe mke wa Al- Shababu endelea kutema pumba zako.

Tutakufuata ghafla huko Ulikojificha Mkuranga na Kibiti. na nakuambia
Huta hororoja tena huo Uharo wako.

Kama unabisha endelea kuhororoja.
Huo Uharo wako.
Hahahahahahaha imebidi nicheke.

Mbona Mkuranga mbali sana, njoo Lumumba utanikuta, au unataka nikufate mimi ulipo?
 
Endelea kuhororoja. Na kuharisha maji machafu. Kunasiku hutaweza kutamka hicho Kiarabu chako.
Utaishia kuimba Allahu Akbar.
 
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.
Kufungua Viwanda means Employment for the People na Products for the People Win for Kenyans
Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.
With employment problem hata zaidi ya hapo anaweza kuwapa ila jiulize huko Saudia hakuna shida ya ajira ?

Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.

Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.

Ushahidi huu hapa:

Unadhani mtu angekuja hapa akasema anafungua viwanda na kuchukua hawa machinga huku waende huko kufanya kazi (na naamisha kazi ambazo hata wao wanafanya na sio kuwa vijakazi) kuna kichaa yoyoye angekataa hayo ?!!!
 
Saudi Arabi wana shida ya waajiriwa siyo ya ajira, wanazalisha kazi nyingi kiasi wanachukuwa wafanyakazi kutoka dunia nzima.

Au sijakuelewa kuhusu hilo la "shida ya ajira"?
 
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.

Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.

Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.

Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.

Ushahidi huu hapa:

Msitake kubrainwash watanzania, hao waarabu si tulikuwa nao miaka miaka mbona hayo mahaba hapa EAC hayakuwepo?; Nini kimetokea ghafla katika utawala wa Samia na Ruto hata waarabu waneokane fursa?; Kwendeni zenu. Kama mnawapenda sanq wapelekeni sebuleni kwenu siyo nchi yetu.
 
Wewe jina lako tu linaonesha Tanzania siyo kwenu.
 
Mkataba upi mnaoungolea? Mbona tunaongea kijinga jamani?

IGA siyo mkataba wa undeshaji banadri au kingine chochote jamani.

Hatuna mkataba, ndiyo inafanyiwa kazi. Mbona tu wajinga kisi hiki?

Halafu ukisikia mkataa wa Kimataifa, basi wewe hata uwe mjinga vipi au uwe mjanja vipi, unajisumbuwa tu. Umoja wa Mataifa ndiyo unaileinda yote. Hakuna ujanja wala ujinga kwemye mikataba ya Kimataifa.
Mshaambiwa na DPW rudisheni pesa zao mlizohongwa. In Magufuli's voice " Kama pesa mlikula kupitia mdomoni basi zitatokea popote palipo wazi!"
 
Waziri mpya wa uwekezaji kishatangaza mshindi ataeiendesha bandari yetu ya Dar? Maana nimesoma mtandaoni walikuwa wanapitia mkataba wa uendeshaji bandari na mashirika manne.

Umemuona Ruto hapo juu?
 
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.

Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.

Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.

Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.

Ushahidi huu hapa:

Aiseee, Kenya imeipita Sana Tanzania kimaendeleo, unaweza kufafanua maendeleo ni nini na vipi Kenya imeipita Tanzania?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Waziri mpya wa uwekezaji kishatangaza mshindi ataeiendesha bandari yetu ya Dar? Maana nimesoma mtandaoni walikuwa wanapitia mkataba wa uendeshaji bandari na mashirika manne.

Umemuona Ruto hapo juu?
Unapojenga hoja zako, jaribu kujiridhisha Kama kile unachokiongea ndicho kinachohusika hasa.

Mimi ni muumini mkubwa Sana wa kutaka hawa DPW wapewe huu mkataba, lakini jambo ambalo serikali inakosea hasa ninapomsikia waziri Mbarawa anapokua akijibu hoja ni kwamba, 80% anazungumzia sababu za kuwapa DPW na faida tutakazozipata Kama nchi, wakati kiukweli wenyekupinga hawapingi hilo, wao wanachopinga ni aina ya mkataba wenyewe kwamba hauna maslahi kwa Taifa.

Japo Mimi sijui Kama kweli mkataba hauna maslahi, lakini ni muhimu kuwasikiliza kwasababu hata mikataba ya dhahabu mingi haikuwa na maslahi kwa Taifa hadi Magufuli alipoifumua upya na hivi Sasa nchi inapata mapato zaidi kutokana na sekta ya madini kuliko hapo Mwanza.

Kuhusu Tanzania kuiga Kenya, sikutegemea hilo kulisikia toka kwako, unataka watanzania waige Kenya katika musuala mazima ya uchumi na uwekezaji kweli?. Kenya ni nchi ambayo wananchi wake wanataabika Sana kutokana na sera mbovu za uwekezaji ambapo wananchi wa kawaida hana mtetezi, serikali ya Kenya inaendeshwa na matakwa ya matajiri.

Hiivi kweli fujo zisizokwisha Kenya unadhani chimbuko lake ni lipi zaidi ya "Economic and social Injustice?". Eneo gani la uchumi ambalo Kenya imeizidi Tanzania unataka tuwaige?, hata hiyo bandari Yao tayari tumeshawapita kiufanisi hata kabla ya DPW hawajaanza kazi.

Hueleweki hoja zako.

Hoja iliyopo kwa sasa ni very simple/ IGA imeshatolewa ufafanuzi sana. Haijalishi iweje, hii inalindwa Kimataifa. Haina ujanja hii, kwetu walla kwa Dubai, likibuma, sheria za mahusiano ya Kimataifa nzdizo zinaamuwa.

Usisikie maneno na porojo za wachumia tumbo, wanasheria wasio na kazi za kufanaya. Wanawadanganya kina Karamagi na Kina Anna Tibaijuka kuwa watazuwia mkataba, wao wanajichotea tu hko. Ujinga mtupu.

Cha kutazamwa sasa ni mikataba aina mbili tu:

1) HGA ni mkataba amabo unaelezea masharti yetu kama nchi mwenyeji wa mradi, ili mwekezaji au mwendeshaji au mkandarasi anaekuja asiseme "mimi nilikuwa sijuwi sheria hii ya kwenu".

Unafahamu umuhimu wa HGA?

2) "Contract" ya utendaji kazi, hii inawekwa makubaliano yenu na inalindwa Kimataifa. Hauchezewi na yeyote huu. Kama hii ndiyo inayotukamatia midege yetu kwa kujidai kujimwabafai.

Hii mikataba ya kandarasi za kimataifa, ukiifanyia mchezo unaweza hata kuwekewa ban za Kimataifa za wazi au za siri.

Tuliwahi kuwekewa hii ban ya Kimataifa ya siri wakati wa Nyerere, na ujanja wake wote nyerere, alibana weee mpaka mwenyewe akaachia. Ndiyo sababu ya kumwachia Mwinyi. Usifikiri alimwachia kwa mapenzi yake.

Mwenyewe alisema "nang'atuka", unafahamu maana ya "kung'atuka"?
 
Wachumia tumbo ni waliochukua pesa ya Mwarabu na hawataki hata kusikiliza ushauri wa watu wa kuurekebisha huo mkataba feki.

Rekebisheni huo mkataba Mwarabu aanze kazi hamtaki.
Kwanini hamtaki kurekebisha vipengele vichache tu?

Rushwa inafanya mataifa mengi ya Kiafrika kuwa duni kimaendeleo. Kwanini mlimpindua Mwarabu wakati ule ?
Hii ni fedheha kubwa sana kwa viongozi hawa.
 
Hueleweki hoja zako.

Hoja iliyopo kwa sasa ni very simple/ IGA imeshatolewa ufafanuzi sana. Haijalishi iweje, hii inalindwa Kimataifa. Haina ujanja hii, kwetu walla kwa Dubai, likibuma, sheria za mahusiano ya Kimataifa nzdizo zinaamuwa.

Usisikie maneno na porojo za wachumia tumbo, wanasheria wasio na kazi za kufanaya. Wanawadanganya kina Karamagi na Kina Anna Tibaijuka kuwa watazuwia mkataba, wao wanajichotea tu hko. Ujinga mtupu.

Cha kutazamwa sasa ni mikataba aina mbili tu:

1) HGA ni mkataba amabo unaelezea masharti yetu kama nchi mwenyeji wa mradi, ili mwekezaji au mwendeshaji au mkandarasi anaekuja asiseme "mimi nilikuwa sijuwi sheria hii ya kwenu".

Unafahamu umuhimu wa HGA?

2) "Contract" ya utendaji kazi, hii inawekwa makubaliano yenu na inalindwa Kimataifa. Hauchezewi na yeyote huu. Kama hii ndiyo inayotukamatia midege yetu kwa kujidai kujimwabafai.

Hii mikataba ya kandarasi za kimataifa, ukiifanyia mchezo unaweza hata kuwekewa ban za Kimataifa za wazi au za siri.

Tuliwahi kuwekewa hii ban ya Kimataifa ya siri wakati wa Nyerere, na ujanja wake wote nyerere, alibana weee mpaka mwenyewe akaachia. Ndiyo sababu ya kumwachia Mwinyi. Usifikiri alimwachia kwa mapenzi yake.

Mwenyewe alisema "nang'atuka", unafahamu maana ya "kung'atuka"?
Bado hujaelewa tatizo lililopo, wewe na Mbarawa bado hamjaelewa shida au watu wanachopigia kelele. Haijalishi aina ya mkataba, iwe ni IGA au uwe ni mkataba wa kiutendaji, watu wanachosema na kutaka kujua ni Je, huu mkataba Kama nchi maslahi yetu yamelindwa?.

Wewe umesahau kwamba tatizo kubwa la Tanzania no kuingia mikataba mibovu hatimae tukigundua imekula kwetu tunaivunja matokeo yake tunapelekwa mahakamani na tunashindwa na kulazimika kulipa fidia?.

Hivi umesahau jinsi Magufuli alivyofumua mikataba ya madini ambayo ilikua tunapigwa Sana katika sector ya madini?, Walioingia mikataba hiyo mibovu wengine ndio hao hao unaowatetea ambao wameshiriki kuingia mkataba huu na DPW, kwanini unawapa uhakika 100% kwamba na huu nao hawawezi kukosea Kama walivyokosea huko nyuma?.

Hivi kweli katika viongozi wote serikalini, unaweza kunitajia wasomi waliobobea na wenye international recognition Kama Prof. Shivji na Prof. Tibaijuka?, Japo nao ni binadamu Kama sisi, lakini kwa mtu mwenye hekima hawezi kuwapuuza watu Kama hawa badala yake akawasikiliza Chalamila, Chongola na Makame Mbarawa.

Funguo kichwa chako kidogo uwe huru katika mawazo yako, ukereketwa hauna maana sana wakati wa kuzungumza bambo yenye maslahi mapana ya nchi Kama hili.

Conclusion; Kinachozungumzwa hapa ni vipengele vya mkataba ambavyo vinaonekana kuwa na ukakasi, sio DPW.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Bado hujaelewa tatizo lililopo, wewe na Mbarawa bado hamjaelewa shida au watu wanachopigia kelele. Haijalishi aina ya mkataba, iwe ni IGA au uwe ni mkataba wa kiutendaji, watu wanachosema na kutaka kujua ni Je, huu mkataba Kama nchi maslahi yetu yamelindwa?.

Wewe umesahau kwamba tatizo kubwa la Tanzania no kuingia mikataba mibovu hatimae tukigundua imekula kwetu tunaivunja matokeo yake tunapelekwa mahakamani na tunashindwa na kulazimika kulipa fidia?.

Hivi umesahau jinsi Magufuli alivyofumua mikataba ya madini ambayo ilikua tunapigwa Sana katika sector ya madini?, Walioingia mikataba hiyo mibovu wengine ndio hao hao unaowatetea ambao wameshiriki kuingia mkataba huu na DPW, kwanini unawapa uhakika 100% kwamba na huu nao hawawezi kukosea Kama walivyokosea huko nyuma?.

Hivi kweli katika viongozi wote serikalini, unaweza kunitajia wasomi waliobobea na wenye international recognition Kama Prof. Shivji na Prof. Tibaijuka?, Japo nao ni binadamu Kama sisi, lakini kwa mtu mwenye hekima hawezi kuwapuuza watu Kama hawa badala yake akawasikiliza Chalamila, Chongola na Makame Mbarawa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tatizo ni wewe na waliokujaza ujinga.

Mkataba wa Kimataifa unalindwa Kimataifa.
 
Kwani hiyo mikataba tuliyoingia ya hovyo ambayo ilitutia hasara katika sector za madini haikuwa ya kimataifa?, Kwani hiyo mikataba ambayo hadi Leo ndege zetu zinakamatwa haikuwa ya kimataifa?

Watu Kama ninyi ambao hamtaki kufungua vichwa vyenu kusikiliza nini watu wengine wanachokisema, ndio tatizo kubwa katika hizi nchi za Afrika.

Wewe kwa akili yako ni kwamba, Kuna mikataba ya kimataifa ambayo tayari imeshaandikwa kwahiyo hakuna kitu nchi au huyo muwekezaji anapaswa kubadili, kwa hiyo ni kusaini na kukubaliana na yaliyomo. Hakuna kitu Kama hicho duniani.

Ukisikia neno mkataba wa kimataifa maana yake ni kwamba walioingia huo mkataba wanatoka katika mataifa tofauti, lakini Kila kitu kilichomo katika huo mkataba, ni matokeo ya mazungumzo na makubaliano ya pande mbili, hivyo basi, wakati wa makubaliano Kila upande unasema unavyopenda na kutaka jinsi mashirikiano yaweje.

Sasa ninaanza kuelewa kwanini uliwadharau Prof. Tibaijuka na Shivji.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
FaizaFoxy kwa asili wanasheria wa Tanzania ni "prominent " ama Magwiji kuliko wale wa Nairobi na janibu zake. Ila kwa uzarendo wanasheria wa Kenya ni material kuliko hawa madafu. Mwanasheria wa bongo haoni shida kutetea kesi kinyume na mama yake mzazi mbele ya fedha... aonapo hela huweza kufikili kwa makalio badala ya kichwa.
Niwapongeze kenya kwa uwekezaji ila nitegemee mchuano mkali kutoka kwa wanasheria "vipanga" pale Nairobi nakuru na naivasha. Muishi milele wanasheria wa Kenya wembamba miili weusi na warefu Akili kubwa!!
 
Back
Top Bottom