Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

Kaziiendelee Rais Wangu
 
#Tanzania inapepea kweli kweli kiuchumi,Mungu ibariki Tanzania
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
 
Huyu ndio Rais,ambaye anajua shida za wananchi,Mungu ampe Afya,na uzima.Na umri mrefu.Twakushukuru Mungu,kutuletea Rais anayetujali wananchi wake.
 
Kila ninakopita,wananchi wanafurahi kumpata Rais,anayejuwa shida zao na kuzitafutia ufunguzi.Mungu ampe umri mrefu na uzima na afya.
 
Huyu ndio Rais,ambaye anajua shida za wananchi,Mungu ampe Afya,na uzima.Na umri mrefu.Twakushukuru Mungu,kutuletea Rais anayetujali wananchi wake.
Ila Mama Samia anapendwa aise duuuh, Watanzania hawapendi magomvi na visasi kabisa,

Hakika Mungu ampe baraka zaidi na zaidi,
 
Tofautisha kusifia na fact,

Hizi ni fact?

Nadhani hata wewe umeelewa namna tulivyo matajiri,

Umeleewa mikopo au misaada ni ziada kwetu,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
Wewe una tupa tarifa sahihi,ukimuona mtu anapinga ujuwe sio mtanzania.Kila mwananchi anafurahia maisha,vitu vingi muhimu vimepunguwa bei na kuwa na unafuu,kama hii ya kukata kodi ya majengo kwenye luku,inakatwa kidogo kidogo,kusafishwa figo imepunguwa bei,shule bure,wanafunzi wote wa kidato cha kwanza kuanza masomo kwa pamoja,mwanafunzi ambaye hajapata sare za shule,atapewa mzazi mda,kupunguwa kwa fine za pikipiki,kupunguwa fine za maegesho,bara za lami kujengwa nk
 
Eeeh, wewe naona unaijua vizuri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan,

Hapa umemwaga fact tupu

Mama ni levels zingine kabisa aisee
 
Una kazi kweli. Hongera kwa kuwa praise team ya sasa
 
We love you Mama Samia Suluhu Hassan
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Umetumwa vp wacha Mama afanye kazi km ni sifa atazipata tu nying haina haja ya kutumia nguvu nyingi kuonesha ubora wa mama

Tunatambua na tunajua mama ni bora mara 100 kumzidi Magufuli jiwe dikiteta mskukuma alietaka kuifanya chato kua Jiji
Kwa lugha ya lisu anaitwa dikteta uchwala
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Mitazamo ni tofauti na huu wako, Kuna wanaodhani Rais Samia hawezi kabisa kuongoza nchi, Unadhani hawa tunawapataje?


Siasa ni maneno kila siku, Rais Samia hata kama anafanya mazuri bila kuyabainisha watu ' Wataota '


Wewe hujui SIASA na huna AKILI,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…