Ze Bulldozer
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 1,070
- 568
Kwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8
Anaupepo hatari,Kama ni upepo wa huyu mama ni balaa,
Hongera amiri jeshi
Samia ni mpango wa Mungu 100%
Kitu gani kilichobadilisha kwa wananchi wa kawaida kwa unafuu tangu tarehe hiyo unayoitaja?Kufanya maendeleo, Rejelea trh 10|10|2021 Dodoma
Matokeo yanakuja taratibu mkuu wanguKitu gani kilichobadilisha kwa wananchi wa kawaida kwa unafuu tangu tarehe hiyo unayoitaja?
Hamna lolote
Tunataka namna hiyo hatuhitaji kutegemea misaada. Tunajiweza sana tunachohitaji ni kuboresha performance yetu tufikie malengo yetu kama nchiKwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2% hadi 8.1% || Nikweli Tanzania tunapokea misaada ila hatuitegemei.
" Hakuna kama Samia "
Sisi Tanzania kama nchi nyingine duniani tunapokea misaada na mikopo toka nchi wahisani pamoja na mashirika mbalimbali ya kifedha duniani kama World Bank ( WB ),International Monetary Fund ( IMF) African development Bank ( AfDB ), ADB, AIIB, EDRD, ISDB,UNDP,CEDB na mengine mengi ambayo ni multilateral finincial Institutions yaani ( IFIs )
Katika bajeti yake ya kwanza Rais Samia Suluhu Hassan amejikita zaidi kulipeleka Taifa kwenye kujitegemea kibajeti zaidi kwa kupunguza misaada na mikopo nafuu toka kwa wahisani ( donor country ) kutoka 8.2% ya bajeti ya FY2020|21 hadi 8.1% FY 2021|22 kwa lugha rahisi Rais Samia Suluhu Serikali yake imepunguza asilimia za misaada toka kwa wanaoitwa mabeberu,
Mtakumbuka katika bajeti ya FY2020|21 bajeti kuu ilikuwa ni Tshs 34.88trilioni huku mikopo nafuu na misaada ilikuwa Tshs 2.87trilioni sawa na 8.2% ya bajeti hiyo lakini mwaka huu katika bajeti yake ya kwanza Rais Samia ametenga Tshs 36.33% huku mikopo nafuu na misaada ikiwa ni Tshs 2.96trilioni sawa na 8.1% ya bajeti nzima ya Tshs 36.33trilioni.
Nikweli Tanzania tunapokea misaada na mikopo ya masharti nafuu kama wenzetu mbalimbali na tunaifurahia sana ikiwezekana tupewe tena na tena lakini kamwe hatuitegemei kwa 100% kwa lugha nyingine kukosekana kwa misaasa hakuifanyi Tanzania yetu ishindwe kulipa Mishahara ya watumishi wote wa umma,kuendesha Serikali kikamilifu ,kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo endelevu nchini kama SGR, JNHPP, Usambazaji wa maji safi na Salama mjini na vijijini,kusomesha watoto wote bure,Bima ya Afya kwa wote, REA,Ajira mpya, HESLB kwa kila mwenye sifa,Ununuzi wa ndege mpya 5 na mengine mengi,
Sikiliza hii, ikiwa bajeti yetu ya FY 2021|22 tumepanga kutumia Tshs 36.33trilioni na misaada|mikopo nafuu ni Tshs 2.96trilioni tu,Huku zakwetu sisi wenyewe toka kwenye kodi zetu na mikopo mbalimbali ni Jumla ya Tshs 33.37trilioni sawa na 91.9%,Tujiulize,Je! kama sisi wenyewe tunajitosheleza kwa 91.9% wewe unapata wapi Ujasiri wa kusema Tanzania tunategemea misaada ambayo ni 8.1%?!! acheni kujidharau dunia inatuheshimu sana Watanzania hasa sasa chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
View attachment 1976452VIVA SAMIA || VIVA TANZANIA VIVA
Ndio, Uko sahihi chiefTunataka namna hiyo hatuhitaji kutegemea misaada. Tunajiweza sana tunachohitaji ni kuboresha performance yetu tufikie malengo yetu kama nchi
Vitu ni vingi sanaKitu gani kilichobadilisha kwa wananchi wa kawaida kwa unafuu tangu tarehe hiyo unayoitaja?
Hamna lolote
Mama fundi sanaKipindi hicho wewe ukiwa maiti na kufufuka uklikokuwa umefungiwa?
Kumbe mama kapunguza misaada na mikopo?Mama fundi sana
Wameanza kuelewa sana tuMama anapiga kazi, mdogo mdogo wataelewa tuu.
MamaKwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2% hadi 8.1% || Nikweli Tanzania tunapokea misaada ila hatuitegemei.
" Hakuna kama Samia "
Sisi Tanzania kama nchi nyingine duniani tunapokea misaada na mikopo toka nchi wahisani pamoja na mashirika mbalimbali ya kifedha duniani kama World Bank ( WB ),International Monetary Fund ( IMF) African development Bank ( AfDB ), ADB, AIIB, EDRD, ISDB,UNDP,CEDB na mengine mengi ambayo ni multilateral finincial Institutions yaani ( IFIs )
Katika bajeti yake ya kwanza Rais Samia Suluhu Hassan amejikita zaidi kulipeleka Taifa kwenye kujitegemea kibajeti zaidi kwa kupunguza misaada na mikopo nafuu toka kwa wahisani ( donor country ) kutoka 8.2% ya bajeti ya FY2020|21 hadi 8.1% FY 2021|22 kwa lugha rahisi Rais Samia Suluhu Serikali yake imepunguza asilimia za misaada toka kwa wanaoitwa mabeberu,
Mtakumbuka katika bajeti ya FY2020|21 bajeti kuu ilikuwa ni Tshs 34.88trilioni huku mikopo nafuu na misaada ilikuwa Tshs 2.87trilioni sawa na 8.2% ya bajeti hiyo lakini mwaka huu katika bajeti yake ya kwanza Rais Samia ametenga Tshs 36.33% huku mikopo nafuu na misaada ikiwa ni Tshs 2.96trilioni sawa na 8.1% ya bajeti nzima ya Tshs 36.33trilioni.
Nikweli Tanzania tunapokea misaada na mikopo ya masharti nafuu kama wenzetu mbalimbali na tunaifurahia sana ikiwezekana tupewe tena na tena lakini kamwe hatuitegemei kwa 100% kwa lugha nyingine kukosekana kwa misaasa hakuifanyi Tanzania yetu ishindwe kulipa Mishahara ya watumishi wote wa umma,kuendesha Serikali kikamilifu ,kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo endelevu nchini kama SGR, JNHPP, Usambazaji wa maji safi na Salama mjini na vijijini,kusomesha watoto wote bure,Bima ya Afya kwa wote, REA,Ajira mpya, HESLB kwa kila mwenye sifa,Ununuzi wa ndege mpya 5 na mengine mengi,
Sikiliza hii, ikiwa bajeti yetu ya FY 2021|22 tumepanga kutumia Tshs 36.33trilioni na misaada|mikopo nafuu ni Tshs 2.96trilioni tu,Huku zakwetu sisi wenyewe toka kwenye kodi zetu na mikopo mbalimbali ni Jumla ya Tshs 33.37trilioni sawa na 91.9%,Tujiulize,Je! kama sisi wenyewe tunajitosheleza kwa 91.9% wewe unapata wapi Ujasiri wa kusema Tanzania tunategemea misaada ambayo ni 8.1%?!! acheni kujidharau dunia inatuheshimu sana Watanzania hasa sasa chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
View attachment 1976452VIVA SAMIA || VIVA TANZANIA VIVA
Kwani huyu ndio mama?Mama hata ujipigie debe vipi, kazi imeishakushinda
Safi sanaKwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2% hadi 8.1% || Nikweli Tanzania tunapokea misaada ila hatuitegemei.
" Hakuna kama Samia "
Sisi Tanzania kama nchi nyingine duniani tunapokea misaada na mikopo toka nchi wahisani pamoja na mashirika mbalimbali ya kifedha duniani kama World Bank ( WB ),International Monetary Fund ( IMF) African development Bank ( AfDB ), ADB, AIIB, EDRD, ISDB,UNDP,CEDB na mengine mengi ambayo ni multilateral finincial Institutions yaani ( IFIs )
Katika bajeti yake ya kwanza Rais Samia Suluhu Hassan amejikita zaidi kulipeleka Taifa kwenye kujitegemea kibajeti zaidi kwa kupunguza misaada na mikopo nafuu toka kwa wahisani ( donor country ) kutoka 8.2% ya bajeti ya FY2020|21 hadi 8.1% FY 2021|22 kwa lugha rahisi Rais Samia Suluhu Serikali yake imepunguza asilimia za misaada toka kwa wanaoitwa mabeberu,
Mtakumbuka katika bajeti ya FY2020|21 bajeti kuu ilikuwa ni Tshs 34.88trilioni huku mikopo nafuu na misaada ilikuwa Tshs 2.87trilioni sawa na 8.2% ya bajeti hiyo lakini mwaka huu katika bajeti yake ya kwanza Rais Samia ametenga Tshs 36.33% huku mikopo nafuu na misaada ikiwa ni Tshs 2.96trilioni sawa na 8.1% ya bajeti nzima ya Tshs 36.33trilioni.
Nikweli Tanzania tunapokea misaada na mikopo ya masharti nafuu kama wenzetu mbalimbali na tunaifurahia sana ikiwezekana tupewe tena na tena lakini kamwe hatuitegemei kwa 100% kwa lugha nyingine kukosekana kwa misaasa hakuifanyi Tanzania yetu ishindwe kulipa Mishahara ya watumishi wote wa umma,kuendesha Serikali kikamilifu ,kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo endelevu nchini kama SGR, JNHPP, Usambazaji wa maji safi na Salama mjini na vijijini,kusomesha watoto wote bure,Bima ya Afya kwa wote, REA,Ajira mpya, HESLB kwa kila mwenye sifa,Ununuzi wa ndege mpya 5 na mengine mengi,
Sikiliza hii, ikiwa bajeti yetu ya FY 2021|22 tumepanga kutumia Tshs 36.33trilioni na misaada|mikopo nafuu ni Tshs 2.96trilioni tu,Huku zakwetu sisi wenyewe toka kwenye kodi zetu na mikopo mbalimbali ni Jumla ya Tshs 33.37trilioni sawa na 91.9%,Tujiulize,Je! kama sisi wenyewe tunajitosheleza kwa 91.9% wewe unapata wapi Ujasiri wa kusema Tanzania tunategemea misaada ambayo ni 8.1%?!! acheni kujidharau dunia inatuheshimu sana Watanzania hasa sasa chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
View attachment 1976452VIVA SAMIA || VIVA TANZANIA VIVA
Fuatilia utagunduaKwani huyu ndio mama?
trend nzuri hiiKwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2% hadi 8.1% || Nikweli Tanzania tunapokea misaada ila hatuitegemei.
" Hakuna kama Samia "
Sisi Tanzania kama nchi nyingine duniani tunapokea misaada na mikopo toka nchi wahisani pamoja na mashirika mbalimbali ya kifedha duniani kama World Bank ( WB ),International Monetary Fund ( IMF) African development Bank ( AfDB ), ADB, AIIB, EDRD, ISDB,UNDP,CEDB na mengine mengi ambayo ni multilateral finincial Institutions yaani ( IFIs )
Katika bajeti yake ya kwanza Rais Samia Suluhu Hassan amejikita zaidi kulipeleka Taifa kwenye kujitegemea kibajeti zaidi kwa kupunguza misaada na mikopo nafuu toka kwa wahisani ( donor country ) kutoka 8.2% ya bajeti ya FY2020|21 hadi 8.1% FY 2021|22 kwa lugha rahisi Rais Samia Suluhu Serikali yake imepunguza asilimia za misaada toka kwa wanaoitwa mabeberu,
Mtakumbuka katika bajeti ya FY2020|21 bajeti kuu ilikuwa ni Tshs 34.88trilioni huku mikopo nafuu na misaada ilikuwa Tshs 2.87trilioni sawa na 8.2% ya bajeti hiyo lakini mwaka huu katika bajeti yake ya kwanza Rais Samia ametenga Tshs 36.33% huku mikopo nafuu na misaada ikiwa ni Tshs 2.96trilioni sawa na 8.1% ya bajeti nzima ya Tshs 36.33trilioni.
Nikweli Tanzania tunapokea misaada na mikopo ya masharti nafuu kama wenzetu mbalimbali na tunaifurahia sana ikiwezekana tupewe tena na tena lakini kamwe hatuitegemei kwa 100% kwa lugha nyingine kukosekana kwa misaasa hakuifanyi Tanzania yetu ishindwe kulipa Mishahara ya watumishi wote wa umma,kuendesha Serikali kikamilifu ,kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo endelevu nchini kama SGR, JNHPP, Usambazaji wa maji safi na Salama mjini na vijijini,kusomesha watoto wote bure,Bima ya Afya kwa wote, REA,Ajira mpya, HESLB kwa kila mwenye sifa,Ununuzi wa ndege mpya 5 na mengine mengi,
Sikiliza hii, ikiwa bajeti yetu ya FY 2021|22 tumepanga kutumia Tshs 36.33trilioni na misaada|mikopo nafuu ni Tshs 2.96trilioni tu,Huku zakwetu sisi wenyewe toka kwenye kodi zetu na mikopo mbalimbali ni Jumla ya Tshs 33.37trilioni sawa na 91.9%,Tujiulize,Je! kama sisi wenyewe tunajitosheleza kwa 91.9% wewe unapata wapi Ujasiri wa kusema Tanzania tunategemea misaada ambayo ni 8.1%?!! acheni kujidharau dunia inatuheshimu sana Watanzania hasa sasa chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
View attachment 1976452VIVA SAMIA || VIVA TANZANIA VIVA
Mimi pia mama?Fuatilia utagundua
Ila watu nyie khaaFuatilia utagundua