Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

Hongera Sana Rais Samia
 
Hapo ni kama hajapunguza kitu. 0.1 ndio punguzo gani? Tatizo kuna watu kazi yao kuimba ngonjera kusifia hata mahali hapastahili. Shida yetu mama ana mwelekeo wa kitegemezi sana. Alipokuja tony blair aliona kama dili sana kisha akapigwa hela. Nchi inahitaji kuponywa kisaikolojia kwa sababu sisi ni matajiri wa mali asili. Tunachohitaji ni kujiamini na kuwaza kujitegemea. Tunataka ile trend ya jpm kuendelea.. jeuri ya kujitegemea kwa kua ni kweli tunaweza kujitegemea. Mama ana mindset ya ombaomba. Hili ni tatizo. Ukiwasujudia mabeberu wanakupeleka kwa mipango yao. Bajeti zao ni kupata bwerere kutoka kwetu.
 
Nadhani nia ni kuondoa dhana kwamba Rais Samia anakopa sana kuliko mtangulizi wake,
 
Daah
 
Wajinga sana ninyi ng'ombe unajua 60 ya bajeti tunategemea mabeberu?
 
Tukiacha roho mbaya Rais Samia anajitahidi sana
 
Kama ni upepo wa huyu mama ni balaa,
Hongera amiri jeshi

Samia ni mpango wa Mungu 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…