Rais Samia 2025 ana nafasi kubwa ya kushinda

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
2025 Mama atashinda hilo halina ubishi kwani Haijawai tokea kwakweli. Rais anapendwa na watu namna hii.

Ameonyesha nia yake ya kupenda, kujali na kutekeleza yale yote aliyoyaahidi.

Haki✅
Usawa✅
Mishahara✅
Posho✅

Anayebisha aje na facts.
 
Sio hivyo sema na maendeleo kwenye sekta zote..

Zile hadithi zingine za Sukuma gang ndio kwishney kabisa..

Rais Samia anawawakikisha vyema wanawake kwenye Uongozi..
 
Hii tabia ya kuingilia mambo ya mahakama si tulishayaacha? acha mahaka ifanye kazi yake. Wewe ukiitwa ueleze hayo unayosema utaweza kusema?
 
Mke wa sabaya
 
Kushinda kwa haki sio rahisi
 
Atashinda mechi ya vikoba au atashinda na njaa?

Be well communicated on your matter and specific accordingly [emoji6][emoji19]
 
Kwa andiko lako hili una maana Rais Samia anaongozwa na genge la wauza madawa ya kulevya? Mods huyu mtu wenu anavuka mipaka na anachofanya ni kuvuruga mijadala kwa kuingiza mada zilizo nje ya mada iliyopo mezani. Anajivunia wingi wa ID zake nyingi,mkimpiga ban anaibuka na ID nyingine lakini hoja na staili yake ni ile ile.
 

Samia 2025 ana nafasi kubwa ya kushinda Iwapo kanda ya ziwa na Kaskazini mwa Tanzania wataumunga mkono kwa dhati.​

 
Samia kaanza kampeni zake mapema, kila afanyalo linalenga uchaguzi.
 
Na ndio maana nimesema ana nafasi kubwa maana anagusa kila sekta kwa namna yake.
Hatagombea huyo, anamalizia safari aliyoanza na jiwe. Alete kheri tu Kwa KATIBA mpya kuandikwa akiwepo. Tutamshukuru sana.
 
Samia atapigiwa kura hadi na chadema ili kumkomoa marehemu!

Yani lisu kama anawaza kugombea 2025 ahesabu maumivu
 

Samia 2025 ana nafasi kubwa ya kushinda Iwapo kanda ya ziwa na Kaskazini mwa Tanzania wataumunga mkono kwa dhati.​

Mtu yoyote yule,akiwekwa na CCM agombee Urais ni lazima ashinde! Labda wale kijani wenzanke wamfinyie kwa ndani huko kabla ya kumleta kwa Wapiga Kura, maana nao hao hata hawaaminiki wanamichezo ya ajabu sana sometimes!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kupiga kura ila naamini tukiwa hai nitapiga kura ya ndio kwa Mhe Samia Suluhu Hassan
 

Samia 2025 ana nafasi kubwa ya kushinda Iwapo kanda ya ziwa na Kaskazini mwa Tanzania wataumunga mkono kwa dhati.​

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]na hizo Kanda Ni ngumu Sana kwake kutoboa
 
Kwa mara ya kwanza namuona Rais Samia akipigiwa kura na vyama vyote vya upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…