Rais Samia 2025 ana nafasi kubwa ya kushinda

Mkuu

Huna macho na masikio!!?

Wameshasema wadau kuwa 2025 hakuna uchaguzi Hadi katiba mpya ipatikane 2026!!

Halafu duru za jamvi zinasema hata Huyo unaempigia debe ataachia kumpisha mwingine Ili akamilishe mchakato!!!

We vipi!!?

Kasome
 
Hana mshindani

Ni kiongozi mpenda haki
 

Samia 2025 ana nafasi kubwa ya kushinda Iwapo kanda ya ziwa na Kaskazini mwa Tanzania wataumunga mkono kwa dhati.​

Kanda ya ziwa hata wasipompigia kura wakapigia kura kaburi la shetani kule chato bado rais atakuwa Samia Suluhu.

Mama ameleta suluhu nchi nzima.

Hakuna mauwaji Wala utekaji Wala ubambikiaji kesi.

Kubwa zaidi Lissu pesa yake ya haki kalipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…