Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Utapiamlo wa medula oblongata unakuandama wewe!Muliomba kuandamana mkaruhusiwa , tatizo ni nini tena? Kiki zimeisha au?
Maandamano yanaombwa ama yanatolewa taarifa ili upewe ulinzi?
CHADEMA iliomba maandamano ama ilitoa taarifa?'
HII NCHI INA Wapuuzi wengi kama wewe na hawaishi !
Umezoea kusikia kauli za polisi kwamba wataruhusu maandamano unafikiri ni sheria, wakatae wao ni nani wakati Katiba imeruhusu na ndio maana CCM inaongoza kwa kufanya maandamano, anapopita makonda sehemu zote ni maandamano, na ukitaka kujua- shehe ponda na wafuasi wake wakiwa hata watano wanakamatwa wanaandamana, ila wewe na ccm hata wakiwa 3000 unaoan si Maandamano, mpaka uone wapinzani ndio unajua ani maandamano!