Rais Samia aache kukwepa majukumu

Rais Samia aache kukwepa majukumu

Muliomba kuandamana mkaruhusiwa , tatizo ni nini tena? Kiki zimeisha au?
Utapiamlo wa medula oblongata unakuandama wewe!
Maandamano yanaombwa ama yanatolewa taarifa ili upewe ulinzi?

CHADEMA iliomba maandamano ama ilitoa taarifa?'

HII NCHI INA Wapuuzi wengi kama wewe na hawaishi !

Umezoea kusikia kauli za polisi kwamba wataruhusu maandamano unafikiri ni sheria, wakatae wao ni nani wakati Katiba imeruhusu na ndio maana CCM inaongoza kwa kufanya maandamano, anapopita makonda sehemu zote ni maandamano, na ukitaka kujua- shehe ponda na wafuasi wake wakiwa hata watano wanakamatwa wanaandamana, ila wewe na ccm hata wakiwa 3000 unaoan si Maandamano, mpaka uone wapinzani ndio unajua ani maandamano!
 
Utapiamlo wa medula oblongata unakuandama wewe!
Maandamano yanaombwa ama yanatolewa taarifa ili upewe ulinzi?

CHADEMA iliomba maandamano ama ilitoa taarifa?'

HII NCHI INA Wapuuzi wengi kama wewe na hawaishi !

Umezoea kusikia kauli za polisi kwamba wataruhusu maandamano unafikiri ni sheria, wakatae wao ni nani wakati Katiba imeruhusu na ndio maana CCM inaongoza kwa kufanya maandamano, anapopita makonda sehemu zote ni maandamano, na ukitaka kujua- shehe ponda na wafuasi wake wakiwa hata watano wanakamatwa wanaandamana, ila wewe na ccm hata wakiwa 3000 unaoan si Maandamano, mpaka uone wapinzani ndio unajua ani maandamano!
Kiki imebuma 😁😁
 
Ile kauli imetumika kisiasa kutisha vyama vya upinzani. Na sidhani Kama Kuna Nia yeyote ya kiusalama. Kama upinzani wangekuwa na lengo la kuleta machafuko sidhani Kama Rais angetoa hiyo kauli.
Haya, kila mtu na fikra zake. Ndio maana mpaka leo CCM inatawala kwa sababu fikra zake ni tofuti na mnavyofikiri nyinyi.

CCM inaujwa upinzani, juu chini, iliuanzisha yenyewe na bado inau control mpaka kesho. Inauchezea kama vinyago vya mapapure.
 
Ila JWTZ wamejishushia hadhi wenyewe kuwaendekeza wanasiasa. Ndio maana Leo unaweza kutamka kuwa Rais kampuuza CDF. Wamejitakia wenyewe ndio maana wanadhaurika.

CDF kapuuzwa sababu kaongea pumba yeye kama yeye. It has nothing to do with JWTZ.
 
Ule ulikuwa ni mkutano rasmi wa JWTZ, hivyo basi Mkuu wa Majeshi alikuwa huru kabisa kuzungumzia tishio la kiulinzi na kiusalama kwa kuwa na wakimbizi wenye ushawishi ndani ya mfumo. Mada kuu hapo ilikuwa ni uwezekano wa kuvuja kwa taarifa nyeti za kijasusi zenye athari hasi za kwenda kwa mahasimu wa maendeleo ya nchi yeru hasa yale ya kiuchumi na kijamii

Rais Samia kuja na majibu mepesi pale alipopewa nafasi ya kuongea katika mkutano huo kama mgeni rasmi, ndicho hasa kinachochokoza na kuibua hisia tofauti. Hapa nchini vyama vikuu vya upinzani kwa upande wa Bara na Visiwani vinaeleweka. Kauli hii kwa jeshi letu ni kwamba mwaka 2025 wakati wa uchaguzi, "impliedly" ni kuwa vyama hivyo viangaliwe kwa tahadhari kubwa ya kiulinzi na kiusalama. Hili ni agizo jipya kutoka kwa Aniri Jeshi Mkuu kwenda kwa CDF kuwa jeshi linawajibika liwe tayari kwa lolote lile, ili kuhakikisha kwamba CCM inawashinda wapinzani wake wakati wa uchaguzi wa mwaka 2025..

Kwa hiyo basi Rais hakutoa majibu yenye tija juu ya uwepo wa tahadhari ile ya kijasusi aliyopewa katika hadhira ile, isipokuwa yeye badala yake akatumia mamlaka yake ya kikatiba kama kiongozi wa dola kujitayarishia mazingira rafiki kupitia kucheza rafu ili kuweza kukirudisha tena chama chake madarakani mwaka 2025 kwa msaada wa JWTZ.

Hiki ndicho kile ambacho hata mtangulizi wake alikitenda. Haya ni matumizi mabaya ya madaraka na kutumia vibaya vyombo vya dola ili kukandamiza demokrasia. Hii inadhihirisha kwa jicho la Rais akiwa kama M/Taifa wa CCM, tishio kubwa la kiusalama analoliona ni uwezekano wa chama chake kupoteza dola, na wala haangaishwi na tahadhari ile mahususi ya kijasusi aliyopenyezewa kwake kama fanani katika hadhira ile.
 
Namuomba Rais asitumie Aache longolongo.
Tunaweza kabisa kutumia lugha nzuri ya kistaarabu na ujumbe ukafika vizuri zaidi!, kumwambia aache longolongo it's as if yeye ni mtu wa longolongo which is not right, is not fair. Ukiondoa issues za wahafidhina wa CCM wanaompotosha kwenye issues za katiba, huyu Mama yuko very straight, amenyooka, hapindipindi.

P
 
CDF alikurupuka. Hakuna mkimbizi aliyeteuliwa serikalini.

Mkimbizi akiwa naturalized ana haki ya kushika nafasi yeyote ile isipokuwa nafasi ya Rais na VP ambao ni lazima wawe watanzania by birth. Nafasi zingine zote sio lazima.

Mtu akiwa naturalized hakuna sababu ya kuendelea kubring up ukimbizi wake. Tatizo wabongo wengi wanaamini mtu akiwa mkimbizi anakuwa mkimbizi milele. Huu ni ujinga wa watanzania walio wengi.

Serikali haiwezi kuteua mkimbizi hata kama serikali ya bongo ni mbaya vp. Maza alimlindia heshima tu ila CDF alipuyanga.
Unaongea usicho kijua kabisa ingawa wewe unajiona unajua, CDF sio kiongozi wa siasa elewa hilo kwanza labda kama hukwenda shule hivyo ni maamuma.
 
Rais Samia Ni dhaifu sna Ila anapendwa sna na wengi

Hili halihitaji tafiti
Je kwanin rais Samia Ana kubalika sna
Sababu wajanja wengi wanatumia udhaifu wake kufanikisha mambo yao..
Na warevu pia wanapata kuonesha uwerevu wao.

Kwangu mimi chini ya rais Samia ni wewe tu uamue uibe, uchape kazi, uonyeshe talanta yko. Ni mama ruksa..
 
Tatizo sio ututsi wala unyarwanda tatizo ninaina ya katiba iliyopo je inamsimia ipasavyo!!?na Dola inaweza mfanya chochote Rais akivunja katiba ya nchi au waziri mkuu!!?

Hapo ndio ishu!mi Sina shida hata kama mzungu akiwa Rais Tanzania lakini katiba ina meno ya kumfanya chochote kiongozi yeyote akikiuka katiba!!?
Mkuu umeongea kwa hekima sana. Kama mfumo uko sahihi hata nani awe Rais atafata uelekeo. Ndiyo maana Obama akawa Rais wa Marekani japo kuna siri nyingi behind
 
Ilo la umeme kasha shindwa zamani sana..hili la sukari nalo kaambiwa kazila ana kisirani uyu bibi
Acheni kuhamisha mada, kwanza tujadili wageni kupewa madaraka kwenye nchi yetu, Nimegundua nchi hii ukianza kujadili suala la wakimbizi watu wanaipotezea, kwa vile wao wenyewe wana asili za 'huko' hivyo wanasympathize nao.

Ama kuhusu mtoa mada, inaonesha hana uelewa mkubwa na siasa za nchi hii, ndio maana anasema jeshi letu lisihusishwe na 'siasa'. hii ni kama kusema 'Mwalimu nyerere asihusishwe na ccm'
 
Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi.

Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais Samia alipopewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huo, akaleta mada nyingine kwamba mwaka 2025 ni mwaka wa uchaguzi hivyo vyama vipo vingi na vingine havina Nia njema, hivyo jeshi liwe tayari kwa lolote.

Kauli ya Rais ilikuwa ya kinafiki na kujaribu kujenga taswira ya kwamba vyama vya Upinzani vinalenga kuleta fujo au kauli ya Rais ililenga kuwaingiza wanajeshi kwenye siasa za kuilinda CCM .

Namuomba Rais asitumie vyama vya Upinzani Kama Chaka la kujifichia, kwani tumefanya chaguzi nyingi na JWTZ haijawahi kuhusishwa. Yeye ajikite kushughulikia kauli ya CDF kuhusu wakimbizi kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa. Aache longolongo.
Kupanda bei kwa bidhaa za viwandani kupita kiasi nani anawajibika?
 
Rais ana vyombo vingi vya kuhakiki taarifa, uongozi sio kukurupuka, lazima afanye due diligence ili asimuonee mtu kwa sababu tu kazaliwa Karagwe, Kigoma, Ngara, Mbeya, Mtwara
Huyu hapa unaamini hivyo vyombo vinafanya hivyo kama mkuu tu wa wiliya ni mtihani
 
Back
Top Bottom