Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,104
- 2,550
Akamatwe kwanza BashiteKwa hili nadhani mama Samia ameliwazia kisiasa zaidi badala ya kiweledi.....
Mtu aliyeghushi vyeti vya kitaaluma ni mhalifu na angetakiwa awe jela......wanasiasa wetu wana akili ndogo sana, daima wanawaza kutoa kauli na matamko yatayowafurahisha wapiga kura ili waendelee kubakia utawalani........
Mtu anayekalia nafasi ambayo ametumia njia za udanganyifu kuipata anazuia nafasi kwa wengine waliovuja jasho kwa ajili ya nafasi hiyo.......