JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Hoja yako ni Wakipewa hupati chochote, wakikosa pia hupati chochote ila Sheria ifuate mkondo.Sio yeye atakayefunga watu 1000 wala mimi kupata kitu chochote,hiyo ni sheria kufuata mkondo mkuu,wapewe haki yao ya mafao ila tusiishie hapo kama walighushi na sheria ina maelekezo yake kwa mtu aliyeghushi,nao ufuatwe halikadhalika.
Sawa.
Hoja yangu ni wale ni wahalifu ni kweli ila serikali ilikubali huduma zao na sasa imewaadhibu kwa kuwafukuza kazi, Kama kuna uwezekano wa kupewa yale makato waliyokuwa wanakatwa wakati wanatoa huduma wapewe. Mbona kuna misamaha ya raisi? Kushupalia wasipewe ni roho ya ajabu. Ukumbuke wengi hapa ni walitumia majina ya watu kujiendeleza. Miaka ya nyuma imefanyika sana.