Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

Pole
 
Ukimkeran mbowe watoto wanalala njaa

Jiiongezee umri umeenda mbowe akiondoka chadma wafa
Sasa kwa uandishi huu, wewe sio wa vyeti fake bali elimu fake yaani ngumbaru.
Mie sio underage mwenzako, nime retire na watoto wote ni graduate.
Sasa jibuni swali, kwa nini kadanganya taifa?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo Ni Kama mchepuko kudai fidia na matunzo kwa mtoto ambaye alimpata mafichoni na kwa wizi kupitia mume was mtu ... Malipo yake ni ile mishahara ya kudhurumu Zaid ya hapo apokwe Haki alizoiba ambazo sio zake kihalali.
 
Hiyo Ni Kama mchepuko kudai fidia na matunzo kwa mtoto ambaye alimpata mafichoni na kwa wizi kupitia mume was mtu ... Malipo yake ni ile mishahara ya kudhurumu Zaid ya hapo apokwe Haki alizoiba ambazo sio zake kihalali.
Sasa kwanini mdanganye ?
 
Hili jambo ni gumu kwenye utekelezaji hakuna Mtumishi wa Serikali aliyetayari ku risk maisha yake ya kazi huu utawala utapita lakini Serikali haitapita watakuja viongozi wengine watafungwa wote waliodhinisha malipo ya Bilioni 47 kwa watu ambao wameghushi vyeti. na hili hatumlaumu Rais ni makosa ya watu wake kumpelekea mambo ya uongo Rais ili ayatangaze apate sifa kwa wananchi. Hapa kuna mkono wa Kina Makamba na Nape
 
Kwani Rais hana analolijua hadi kila kitu apelekewe ?
 
Hawa ndio waliomuingiza chaka Rais wetu kuhusu Vyeti Feki wakiamini kwamba ukiwa Rais unaweza kuamua jambo lolote bila kuzingatia sheria
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…